michibo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,315
- 3,915
Picha ziko wapiZimepanda, Njoo upande huu wa barabara ya chuo kuna moja ya kali ya 300k ila anashuka
Usile Mbegu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ziko wapiZimepanda, Njoo upande huu wa barabara ya chuo kuna moja ya kali ya 300k ila anashuka
.Picha mpaka badae, nikienda kule ila nyumba naijua, naiamini pia
Hakuna nyumba ya vyumba viwili ya 400,000 haijalishi mwenye nyumba amegharamia kiasi gani au ipo karibu na barabara kiasi gani cha msingi ni wateja wanaithaminisha vipi hio nyumba...Msipende kusingizia madalali bila kujua, mm nimepambana sana bei ishuke hizo nyumba, ila kutokana na ukaribu wake na road na kutokana na vitu vya dhamani alivyooweka mwenye nyumba kakomaa na hiyo bei,
Kumbuka mm hapo siangalii cha juu, naangalia ya mwezi, unadhan hata ikipangishwa kwa 200k mimi nikipata ya udalali ya mwezi nina hasara gani?
Nimepata mteja wa 350k nampeleka namuombea kwa mwenye nyumba kakataa, wewe hapo utasema ni dalali,
Nyumba kweli ni mpya na ni nzuri, na ziko karibu kabisa na barabara, ika bei imekomaa.. ngoja tuendelee kupambana huenda bei ikashuka.
Kwa upande wako hakuna ila kwa mwenye nyumba zipo, Amini usiamini Nimepeleka mteja wa 350,000 na analipa mwaka mzima na bado kakataa, so hapo utasema ni dalali, mimi hata mwenye nyumba akisema 250k mm nitafurahi kupata wateja kwa haraka.Hakuna nyumba ya vyumba viwili ya 400,000 haijalishi mwenye nyumba amegharamia kiasi gani au ipo karibu na barabara kiasi gani cha msingi ni wateja wanaithaminisha vipi hio nyumba...
Mimi sijasema dalali kasababisha ila nanchotaka ujue ni kwamba mteja haangalii gharama ulizofanya au nyumba ina thamani gani..mteja anaangalia yeye analipa kiasi ganiKwa upande wako hakuna ila kwa mwenye nyumba zipo, Amini usiamini Nimepeleka mteja wa 350,000 na analipa mwaka mzima na bado kakataa, so hapo utasema ni dalali, mimi hata mwenye nyumba akisema 250k mm nitafurahi kupata wateja kwa haraka.