Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

Ndugu,
Makasiriko ya nini?
Yaani vyovyote ilivyo wewe unawashwa wapi?
Hujaombwa wala kualikwa.
Kama ni stress tafuta pengine pa kuzipunguza.
Anawashwa Mama Yako Mwambie Achemshe Maji ya Moto Akimwagie Kiharage. Ukiambiwa ukweli Unatuona Jau Ukizipata Hizo 11m Tutakuongezea 5m Wanakung'ata kweli Udalali nayo ni kazi au utapeli tu
 

Kuona ni Tsh: 50,000/- ? Kwa kutumia hiyo picha kama nimeipenda naweza fika kwenye hiyo Nyumba kirahisi tu!
 
Kwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!

Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
Wanatamaa sana
 
Huu uzi unachekesha sana, nimependa majibu ya dalali..!!
Ila dalali humu hamna wanunuzi ndiomana kelele na ujuaji mwingi..!! 😹😹

Hao mnaobishana wote wanaishi chamazi na chanika 🤣
 
hio 110m umejumlisha na gharama ya kumuoa dalali au ?
acha tamaa jicho litaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…