Kunae m1 nilimkomesha hatari, na hatonisahau mbweha yule.Kwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!
Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
Sina interest ya kukaa huko ushenzini na paa la Nyumba kama airport ya wachawi
Ila udugu acha utani, huyu dalali ni tapeli,Huu uzi unachekesha sana, nimependa majibu ya dalali..!!
Ila dalali humu hamna wanunuzi ndiomana kelele na ujuaji mwingi..!! 😹😹
Hao mnaobishana wote wanaishi chamazi na chanika 🤣
Mil 11 unachukua wee au? 😂😂😂😂Hapana ni Tshs.110 Milioni.
Chamazi.
Commission haipaswi kuzidi 3 percent. Huyu anataka kutajirikaKwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!
Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
matusi hayakusaidii , mwanaume acha tamaa utaolewaWe ****** unajua Bei ya Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.700 na ambacho KIMEPIMWA?
au unawashwa kabla ya kuongea huo uchoko wako??
Pengine unatafuta Bwana Mbwa wewe.
Nyie nitawapunguzia % kadhaa mkija.Anastasia21 mjengo ndio huo ngoja nikanunue tuwe tunachagua chumba cha kugegedana
Biashara ipi ?Kama nyingi sana tunaongea,
Hii ni Biashara.
Vingine unaweza kutafuta mwenyewe ili usilipe hata 100.
Mbona safi tu..
tafuta kazi, acha kutegemea nyumba za wanaume wenzio kupata comissionWewe endelea kutumia miguvu.
Natumia nini mimi hayakuhusu.
Wakati wewe unanitukana mimi 10% hiyoo Ipo njiani.
Udalali ni Kazi,
Na haolewi mtu.
Hadi unikute na Mama yako ndio utakuwa na Adabu.
Mkuu,Huu uzi unachekesha sana, nimependa majibu ya dalali..!!
Ila dalali humu hamna wanunuzi ndiomana kelele na ujuaji mwingi..!! 😹😹
Hao mnaobishana wote wanaishi chamazi na chanika 🤣
Ni kajinga hako ka dalali kapotezee tumatusi hayakusaidii , mwanaume acha tamaa utaolewa
fanya kazi UDALALI SIO KAZI
hakuna mtu anakulipa 11m kwa kumuonyesha tu nyumba , labda mpemba akupake na mafutaMkuu,
Nayajua hayo na muda ninao leo wa kuwajibu.
Majingamajinga huwa sina muda wa kuyajibu na nipo muda mrefu JF kwahiyo Siasa za humu nazijua vilivyo.