Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

Kwa Milioni 121 (pamoja na udalali wako) mwenye nyumba kashindwa kuweka hata holder za taa za Tsh 2000, kaishia kuacha matundu tu.

Hizo ndio zile za jenga uza. Rangi nzuri, ukipiga ngumi ukuta unapuputika.
Hahaha
 
Ila udugu acha utani, huyu dalali ni tapeli,
Nilimkomesha m1 kwenye nyumba niliyotaka kupanga, hatanisahau yule mbwa, dadekiii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uduguu nyie wasumbufu pesa hamna mpo kumkera dalali, mwenye pesa na uhitaji angeomba punguzo..!! (Mngeongea biashara)

Lakini nyie sio wanunuzi mmeanza kashfa kwenye kazi ya mtu. Hiyo ni bei ya kuanzia sasa kuanza kumpangia bei mnaonekana na nyie mafundi au madalali 😹😹😹

Si unaona sasa unagombana mpk na dalali kisa chumba cha kupanga 🀣
Mnapelekwa kuonyeshwa nyumba kisha mnamzunguka dalali mnaenda kumlipa mwenye nyumba kodi, mnataka dalali ale wapi
 
Na mmiliki wa nyumba yeye anakausha kama hayamuhusu maelewano yako na dalali yeye anachoangalia ili mradi nyumba iuzwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…