Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

yes ukigonga like no problem, kishabiki zaidi, ukimaanisha umeyakubali maneno ya mpondaji, ikitokea team kiba kawatukana team diamond no problem kishabiki zaidi, mnagonga like na kumsupport, and toka mwanzo i used to live with this situation kiteam zaidi, now nisipoelewa mimi ni why count a problem when its towards kiba??? na hapo ndipo nilipoanza kutofautiana kauli na baadhi ya team kiba, SIJAWAHI MWAMBIA MTU BINAFSI KUWA ANAROHO MBAYA AU KUMTUKANA MTU KAMA YEYE, but kuna team kiba did that to me kisa nimemponda kiba why msiichukulie kishabiki kama vile mnavyochukulia kupondwa kwa diamond ni kishabiki??? kuna mtu alishawahi kunitukana mimi kama paula and you all support that, kuna mtu alishawahi niambia wewe paula weweee unaroho mbaya sana, nikamjibu nimechangia kishabiki kama ambavyo wengine wote huchangia kishabiki akaniambia nooo hapa nakuongelea wewe kama paula, akhaaa!!! sasa my dear katika mazingira kama haya who is taking thing to emotional and personal??? and you all support that, now am asking have i ever did that to any of you??? hata uniambie huwa natake vitu too personal unless sijui maana ya hili neno 'personal'

Maam, naona unajisahaulisha hapa.Wewe uliwahi kunambia mimi nna roho mbaya na team kiba tuna roho nyeusi na tutakufa midomo wazi!
Wewe ndiye kila mara huwa unaanzaga mambo ya kutumia kauli za kujivictimize haswa ukiulizwa.
Isiwe issue.Umeshinda.Kwa raha zako na roho yako nzuri.
Mie kiba hanijui, wala hajui kama naexist.So sioni tija juu ya convo hii.Uwe na usiku mwema wa kupendeza.
Umeshinda.
 
hapo kwa kukuambia wewe kama ms. lincoln unaroho mbaya???? NEVER EVER, nat me paula, ILA HAPO KWA TEAM KIBA KUWA NA ROHO MBAYA, yes i did and i can justify my word, just by taking u through some of the comments from team kiba member towards diamond, kama ukitaka, mtu anaandika maneno ya chuki mpaka unajiuliza hivi diamond alimkosea nini huyu mtu, sikumbuki uzi lakini kuna mtu alishaandika 'natamani sana diamond afulie akakae na mr. nice kijiweni'' hiyo sio roho mbaya??? na mkamgongea like, KWANINI UMUOMBEE MTOTO WA MWANAMKE MWENZAKO UMASKINI??? kama siyo roho ya chuki ni nini?? help to figure it out? mimi sijawahi msapport kiba yes and ni kwasababu tu za kishabiki, SIMCHUKII KIBA FROM THE HEART KAMA WENGI WENU MNAVYODHANI, i just choose to be in chibu's boat, na ikitokea nikimponda is with fact kwamba regardless na ukongwe wake kwenye tasnia ya mziki na kipaji alichonacho he is not doing good as diamond did, nitaponda kazi zake and all that lakini KUMUOMBEA BAYA LIMTOKEE, KUMUOMBEA UMASKINI?? SIJAWAHI, coz mwisho wa siku kiba ni Mtanzania lakini team kiba mbali na kumtusi ukitaka kujua namaanisha nini naposema team kiba mnaroho mbaya nenda kwenye uzi wa ukuta wa diamond kuanguka, u will find a vivid example there. having saying that, lets call it a day. PEACE!!!!
 
Haya chukua pepsi baridi afu kama vipi tujiunge kwenye ubuyu wa Ney wa mitego na shamsa ford.Pia leo Dinazarde ataweka picha ya msukuma LIVE.
 
Last edited by a moderator:

Ndio na mimi narekebisha antena zangu kuzielekeza pande hizo, maana maamuzi aliyoyafanya shamsa ni hatarishi. eti Dinazarde is today ze day??? i guess nat bwanaa, si ulisema ni tarehe moja may pale mlimani wilaya??
 
Hhhhaaaaaa le tamkozzzzzzzz
 
Last edited by a moderator:
pengine tufanye ni yake, nyumba imekaa mpaka ikafanana ya nyumba za karne ya 19 hiyo nyumba itakuwa imeanza kujengwa mwaka gani?? am curious to know kwa kweli, ili tujue ni nyumba ya nani inakaribia kuadhimisha jubilee

hahahaha we mwanamke leo umeniacha hoi.. hapo kwenye red hapo
 
Hapo imefunika nini sasa. Mbona ya kawaida sana?
 
Mmmh! Mbona madirisha ya pic 1 na pic 2 yapo tofauti!? Ni nyumba Moja kweli hii!?
 
Nyumba ya Kiba.jpg

Hii ndio nyumba iliyovunjwa anayokaa kiba,ila hiyo uliyopost mbona hazifanani kabisa?
 
Back
Top Bottom