Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Yaani nyumba kama hizi zinapatikana maeneo ya phoenix alikofia Muhammad Ally R.I.P
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi hii imefunika Madale au kule tandale? Wacheni kufananisha mjengo wa DIMONDI na vitu vya kijinga
 
Hizi picha zinajichanganya nikiwa kama mtaalam wa ujenzi. Picha ya toilet imebanana na shower tab kiasi kwamba mtu mnene hawezi kuweka mguu vizuri kwa upande mmoja
Pili mwonekano wa nje sio mandhari ya Dar.
Tatu space ya nyumba ndani imebana haiendani na space ya nje ya nyumba. Hakuna mwenye kiwanja kikubwa kiasi hicho akabana nyumba ndani kama inavyoonekana.
Nimeamin wewe ni mtaalam
 
Akitaka kujisaidia haja kubwa atatumia mkakati gani?
 
Back
Top Bottom