Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hivi hii nyumba ilibomoka au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchokozi! HahahahhHivi hii nyumba ilibomoka au?
unayaweza kumbeni kweli bado anaitoa taratibu taratibu maana mpaka sasa hivi haijaonekana
hahahahahahahaha si sana lakiniunayaweza kumbe
[emoji23][emoji23]Maskini akipata buanaaa....
Nimeamin wewe ni mtaalamHizi picha zinajichanganya nikiwa kama mtaalam wa ujenzi. Picha ya toilet imebanana na shower tab kiasi kwamba mtu mnene hawezi kuweka mguu vizuri kwa upande mmoja
Pili mwonekano wa nje sio mandhari ya Dar.
Tatu space ya nyumba ndani imebana haiendani na space ya nje ya nyumba. Hakuna mwenye kiwanja kikubwa kiasi hicho akabana nyumba ndani kama inavyoonekana.
[emoji23][emoji23]
Halafu nilikuona sehemu nikaogopa kukupa hi!
Tena twice!Mmmh...mimi kweli au pacha wangu?