Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Hizi picha zinajichanganya nikiwa kama mtaalam wa ujenzi. Picha ya toilet imebanana na shower tab kiasi kwamba mtu mnene hawezi kuweka mguu vizuri kwa upande mmoja
Pili mwonekano wa nje sio mandhari ya Dar.
Tatu space ya nyumba ndani imebana haiendani na space ya nje ya nyumba. Hakuna mwenye kiwanja kikubwa kiasi hicho akabana nyumba ndani kama inavyoonekana.
 
We mb w a nahiyo nayo ni nyumba?hamnazo wewe kabisa tukieeka zakwetu si hapatatosha hum?jadilini mambo mapy a na sio maisha ya watu k wewe
 
Badae mtaanza linganisha hadi penis zao

Afadhali washindane kwenye nyumba ilete hamasa kwa wengine pia!!

Tushachoshwa na habari za wasanii kutumia madawa ya kulevya kila leo....!! Wengine wakianza kuiga ushindani huu pengine pesa zao zitakuwa useful na kukos muda wa poda!!
 
Back
Top Bottom