Ni ruksa kuvusha
Kama kawaida,halishindikani jambo!Na kuvesha?
Kuvusha manzi meansNa kuvesha?
Jau uyoTajiri kakataa ana uhakika na nyumba zake ni nzuri
Kuvesha vyombo ubongoni, means kulewaKuvusha manzi means
Kuvusha manzi means
Ohhh sawaKuvesha vyombo ubongoni, means kulewa
Maninaaaa...πππ.watu Wana balaa,... Wanatafuta solution chap kwa haraka....Kama kawaida,halishindikani jambo!
Nina jamaa yangu alikuwa anashuka Kariakoo hotel ya Wasomali kigezo cha kwanza kuingia pale mwanamke na mwanaume ni cheti cha ndoa yeye jamaa alikuwa hapati shida anaingia peke yake night kali anashuka chini anasomesha receptionist anaenda kupiga mambo,kilinishangaza zaidi yupo mmoja alikuwa Msomali jamaa mpaka alizalisha.
Kwa siku ana fanya bei gani au kwa wiki nipo na jipanga kuja december uko zenjiNdug
Ukishakodishwa nyumba usivunje nyumba ya watu tu
Mbona hujaweka namba ya simu?Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu
Utekaji broh,Ndugu hii ni Jf namba yangu ukiitaka PM Uaminifu upo wa kutosha