jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
TRAKwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa
Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu
Karibuni
Wewe kama mfanya biashara na mtoa huduma ingefaa uweke namba hata ya mshirika wako ili mtu akihitaji anapiga simu bila I'd yake ya JF kujulikana.Ndugu mimi ni mtu mwema sana hpa jf nina thread ya kutembeza wageni na hamna mtu nilomtekaš¤£š¤£š¤£