Dah ....nasikitika Sana...wanaume tunazidi kupungua..[emoji41] [emoji41] [emoji13]
Dah..[emoji15]Kivipi?
Dah..[emoji15]
Dah...yaani ule uanaume wenyewe ndiyo unazidi kupungua...😎Naomba unielimishe hapa mkuu
Haha hapana utakua ni nyumba ndogo wewe kwa mtu x /y si kwa jibu hili[emoji3] [emoji3]Kilaaniwe kidyudyu chako
Dah...yaani ule uanaume wenyewe ndiyo unazidi kupungua...😎
Lazima ataanza yeye kulaaniwa kwa ajili ya tamaa zake za kijinga walahi!Ulaaniwe wewe uliyeshindwa kutulia katika Ndoa yako.
Utakuwa na mchepuko mmoja ndio maana. Solution ni DIVERSIFY YOUR PORTFOLIO.
Naomba tuwasiliane PM bbyHa ha ha amhonge nani?mie nahonga bana kwani uwezo ninao hua nahitaj mshedede2 sometimes pesa kwangu si ishu
Mkuu kuna maradhi siku hizi tena mengi sana