Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Wahi kula chakula cha usiku na pia jitahidi kutoshiba sana usiku
 
Kwa kuwa wewe unajitambua mpaka ukaleta uzi umegundua kuwa sio wezi,hao ni "WANGA" tafuta kinga, kama nyumba ni yako weka zindiko.
 
Back
Top Bottom