Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

nikwangu, najibu vipiu mashambulizi ?
Korogea chumvi ya mawe kwenye maji baridi ya baridi. Wakati unalala pindi unapokurupuka mwagia kuta na paa kwa hasira sana huku ukiwatukana kwa sauti kubwa

Fungulia Radio ya Mwamposa ulale nayo

Pakaa mafuta ya Mzeituni kabla ya kulala hasa kwenye paa la uso. Pakaa wanafamilia wote

Maumivu yakizidi, kimbia nyumba. Nimrkumbuka USIWATUKANE! wakemee huku ukionesha kuwa una nguvu
 
Kitimoto sili, bangi kuipata sio rahisi na ni risk, ntajaribu chunvi ya mawe kama nilivyoshauriwa

Basi wewe kazi unayo mzee watakuchezea wanavyotaka mpaka basi sabab wewe unaonekana soft soft sana mzee na dunia ya saiv haihitaji watu wa dizain yako
 
1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Ignore it. Puuzia.
 
Kama paa lako ni la bati tarajia kusikia mchanga ukichurulizika usiku wa leo.

Hiyo ni ishara kwamba umetembelewa na wazee wa kazi chafu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Fuga mbwa wawili, usiku unakuwa unawaachia wanazunguka kwenye uzio; au tafuta mlinzi wa kimasai awe nje.
Ukiwa na uhakika nje kuna mlinzi, ndani ata vitokee vioja gani, unakuwa hauogopi.​
 
Bado unaweza kuitakasa kwa kuipiga chumvi.. Vyumba visivyolaliwa hakikisha vinahudumiwa walau mara mbili kwa wiki kuvipa uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
@Mshana Jr samahani kuna tukio lilinitokea Mimi na ndugu yangu nyumbani, matukio Ni yaleyale lakini miaka tofauti...kuna mmoja wa ndugu yetu(dada yangu) aliingia chumbani ninapolala,hiyo ilikuwa mida ya usiku kama mida ya saa Saba hivi aliishia kwenye mlango na kwa bahati nzuri nilikuwa sijalala nilivyomuita jina hakuitika akanda chumbani kwake kulala. Kesho yake nikamwambia tukio Zima lilivyotokea lakini yeye anadai hatambui chochote kilichotokea.je hii inaashiria Nini ?!
 
Hiyo inaitwa matembezi ya usingizini .. Kuna watu hupatwa na hili tatizo anaweza kutoka mpaka nje ama akajiandaa kabisa na kuvaa uniform kama ni mwanafunzi lakini the next day hakumbuki kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Pengine kweli mtu alijigonga.
 
Unatakiwa kuoa bwana mtu mzima mpaka saivi unaishi peke yako,Mimi jirani yako Baba Abuu
 
Wachawi ni wasumbufu sana. Wachaw sio wasumbufu ila ni wa puuzi tu,watakusumbua ukiwaogopa
 
Level Yako ya ushibaji ilikuwaje?ulishiba sana au tumbo lilikuwa tupu?
 
Back
Top Bottom