Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
TUMIA CHUMVI YA MAWE TU
 
Oga na Chumvi ya Mawe Uoga utaondoka huoo ,"Uchawi mean Uoga wako Mwenyewe"
 
hata mimi ishawahi nikuta hyo na bado inaendelea kunikuta,,,
ila tatzo nimekuja kugundua ni kutokua na hela 🙂
 
1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?

Kama unatumia bangi choma ndani humo chumbani na kama ni nyumba choma kote pia pika sana kitimoto ndani humo utakuja kunishukuru badae!
 
Kitimoto sili, bangi kuipata sio rahisi na ni risk, ntajaribu chunvi ya mawe kama nilivyoshauriwa
 
Back
Top Bottom