Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Watafute wazee uweke ulinzi kwenye mji wakonikwangu, najibu vipiu mashambulizi ?
Washajua umehamia kwako
Wanakutest
Afu huenda umejenga kwenye kilinge Chao
So tafuta zindiko haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafute wazee uweke ulinzi kwenye mji wakonikwangu, najibu vipiu mashambulizi ?
baada ya kumaliza ujenzi na kufikia hatua ambayo inafaa kuhamia nilihamia tu, hakuna nilichofanya na niliishi kwa amani kwa muda wote huo, haya mambo yameanza katikaki ya mwezi wa nane na huu watisa wote umekua wamoto,Mbona jambo la msingi kuwa umejenga hukuweka ktk Uzi wako...
Unatakiwa uikomboe ardhi na maagano...
Kuna radio nyingi sana zinafanya maombi usiku kucha. Chagua mojawapo uwe Unafanya maombi pia ....1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Ukishajenga jitahidi uhamie haraka, nyumba tupu huvutia nguvu za giza..Hapa kwangu naishi, japo nilipojenga ilikaa muda kadhaa bila ya kuishi mtu, ingawa hapa kwangu hapana vurungu nyingi mana familia sio kubwa, nifanyenye kaka? naomba suluhisho lisilohusisha tunguli wala lamli
Elezea vizuri mkuu...1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Kazi ndogo sana, jiunge na UPAKO LIVE saa 3 usiku Arise and Shine tv na Mwamposa upate mafuta na maji ya UPAKO fuata maelekezo. Huyo harudi tena kukutishatisha.nikwangu, najibu vipiu mashambulizi ?
... umepanga? Mwenye nyumba ni mfuga majini? If yes; liitie Jina Kuu la Yesu nawe utapona! Huo upuuzi utakuwa historia kwako for ever and ever.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
... huyo anaishi chimbo moja na wafuga majini lazima wamsumbue kama hana kinga ya Jina lipitalo majina yote.Elezea vizuri mkuu...
Unatumia kilevi chochote maana ukitumia vilevi kama pombe nyingi au BANGI, MADAWA YA KULEVYA.....
Unaanza kua na MAONO YASIYO YA KAWAIDA..
UCHAWI UPO NA UNAFANYA KAZI PIA MUNGU YUPO NA JINA LA YESU LINATENDA KAZI NA LINA MAMLAKA YOTE HAPA DUNIANI...
Hapo labda ndo nimekosea, nyimba ilikaa almost mwaka bila mtu baad ya kukamilika, vipi kama kuna vyumba havilali watu navyo pia ni hatari?Ukishajenga jitahidi uhamie haraka, nyumba tupu huvutia nguvu za giza..
Hakikisha vyumba tupu vinakuwa safi na katika mpangilio muda wote, pia jitahidi kuvinyunyia chumvi kidogo kila wakati kuvipa uhai chanya na utakaso wa kiroho kwenye ulimwengu usioonekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Situmii kilevi chochote na sijawahi tumia,Elezea vizuri mkuu...
Unatumia kilevi chochote maana ukitumia vilevi kama pombe nyingi au BANGI, MADAWA YA KULEVYA.....
Unaanza kua na MAONO YASIYO YA KAWAIDA..
UCHAWI UPO NA UNAFANYA KAZI PIA MUNGU YUPO NA JINA LA YESU LINATENDA KAZI NA LINA MAMLAKA YOTE HAPA DUNIANI...
Kama Mkristo tafuta maji ya baraka, au kama unaimani na Manabii tumia maji ya mfuniko mweupe yanapatika a kwa Kuhani Musa...baada ya kumaliza ujenzi na kufikia hatua ambayo inafaa kuhamia nilihamia tu, hakuna nilichofanya na niliishi kwa amani kwa muda wote huo, haya mambo yameanza katikaki ya mwezi wa nane na huu watisa wote umekua wamoto,
Siku hizi TV station na redio station kibao zinakesha watumishi wakiombea watu, achana na manyimbo ya kina Zuchu, Wewe tune station za injiri all night long utaona tofauti.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Kata pua nne za nguruwe dume(nakazia tena, dume) anayenyonyesha kisha zifunge kwenye kona nne za nyumba yako.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Ni kweli, lakini Imani isipokuwa na matendo imekufa nafsini mwake...Hizo vita ni simple sana ukimuamini Mungu