Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

Elezea vizuri mkuu...

Unatumia kilevi chochote maana ukitumia vilevi kama pombe nyingi au BANGI, MADAWA YA KULEVYA.....

Unaanza kua na MAONO YASIYO YA KAWAIDA..

UCHAWI UPO NA UNAFANYA KAZI PIA MUNGU YUPO NA JINA LA YESU LINATENDA KAZI NA LINA MAMLAKA YOTE HAPA DUNIANI...
Hapo kwenye bangi asingeleta hata uzi hapa, bangi inacontrol hofu kwa asilimia 100%
 
1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.

2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.

3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.

Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Weka ear plugs wakafi wa kulala hautasikia vishindo vya wachawi
 
Uchawi wakwanza hakili mkuu kumbuka hakili inaweza kuumba unacho kifikilia au kukiamini

So acha kuamini unacho amini na kufikiri unacho fikiri

Matokeo take utaota unacho kifikilia na kuskia unacho kiamini
 
Mkuu yako ndogo! Mimi nikilala saa nane usiku naskia mlango wa chumbani unagongwa! Na mchana nashangaa mlango wa nje unagongwa ila nikitoka sioni mtu.
 
Just pay attention kwa kila kitu soon uta overcome hilo tatizo.

Unajua tatizo la kama la uchawai sio lakuoogopa n wewe kumlia timing adui yako kwa ku study pattern zake ila kuna siku ataingia kwenye 18 zako hapo utakuwa na experience ya hali ilivyokuwa na way's zaku overcome iyo challenge. But ukiogopa ndio unakaribisha mvua ikunyeshee kwakuogopa matonematone
Upo sahihi mkuu ni akili tu
 
Ukishajenga jitahidi uhamie haraka, nyumba tupu huvutia nguvu za giza..
Hakikisha vyumba tupu vinakuwa safi na katika mpangilio muda wote, pia jitahidi kuvinyunyia chumvi kidogo kila wakati kuvipa uhai chanya na utakaso wa kiroho kwenye ulimwengu usioonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Chumvi hii, ndio ile hutumiwa na waislam kama ubani?
 
kunamjomba alikuja home muoga kama wewe.jioni nimemuacha nikaenda kutafuta msosi yupo sebleni anacheki tv akataka kuingia jikoni kuchukua maji Sasa sijui Aliona mawenge Gani akatimua mbio nje kukaa

nilivyoludi namkuta yupo nje namuuliza vipi akasema wakati anataka kuingia jikoni Aliona kama MTU anamwangalia mlango wachooni. akanipa presha kidogo namimi niogope

ilakibishi nikamwambia twende ndani nikachukua kisu jikoni nikaanza kutafuta kilachumba nyumba mzima sikuona chochote.nikagundua dogo muoga hajazoea kukaa nyumba mzima mwenyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23],huyo kama mie tu,

usiku kukaa mwenyewe ndani ni bora ni kakae nje nina kuwa na Amani.
 
Back
Top Bottom