dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Mkuu ofa nzr ila zaidi njoo uone mjengo mengine yanaongeleka300m vp
Kwa wakati huu bora ununue nyumba kwani ukiiweka kwenye biashara utakuja simulia tu ushawahi kushika hiyo helaDuh! Hiyo pesa si bora nifanyie biashara ninunuwe nyumba ya kawaida
Inabidi tuukemee kwa maombi ya motoDah
Umaskini unanuka mifukoni mwa watu
Asante sana mkuuNyumba nzuri kiukweli....
Nyumba nzuri kiukweli....
[emoji23]Mia Tisa itapendeza
Kwa wakati huu bora ununue nyumba kwani ukiiweka kwenye biashara utakuja simulia tu ushawahi kushika hiyo hela
Hahaa kweli mkuuWatu wana mijihela aisee duh
Sawa kabisaNimeipenda tatizo pesa tu.
Hahaa kweli mkuu
Mkuu ofa yako sio mbaya, karibu uone nyumba mengine ni rahisi kuongeaKula 450 mil chap mkuu,