Nyumba nzuri ya Ghorofa inauzwa Bunju beach

Unazingua kwaio sote humu tupige cm ndo utupe majibu ama
Kama kweli kuna mtu ataihitaji hana budi kufanya kama alivyoelekeza jamaa pale juu,tena ndo itakuwa rahisi kwa upande wake siyo kusubiri jamaa ajibu post hapa na sioni logic ya yeye kujibu hapa siri zake kwamba alishawahi kuchukulia mkopo sijui amemaliza mkopo wake hivyo ni vitu vya sirini.
 
Nakushukuru sana mkuu.
 
Nitakuja kuicheki maana tunaweza kufanya biashara
 
Mkuu kula 649M tafadhali. Kama upo serious nitumie mkoani blaza.
 
Je nyumba ina mkopo na mara ya mwisho kulipiwa kodi ni lini,maana nyumba yangu ya ilala hivyo hivyo,nmeingia kichwa kichwa kumbe migogoro kibao ya familia +deni juu la benk,hadi kuja kupewa hati zmentoka hela kibao so weka maelezo vizuri tujue tumazchomoa wapi
 
Kabla hujanunua, hatua ya kwanza nikuona nyumba 2 nikumuona mmiliki 3 nikuona nyaraka za nyumba (documents) 4 kuhakikisha documents mamlaka husika

Hayo ni kwa uchache tu kwan naweza kukuambia haidaiwi kumbe inadaiwa itakuwa imekusaidia nn?

Karibu mkuu uone nyumba kama nguvu unayo ya kununulia

Back
Top Bottom