Nyumba nzuri ya Ghorofa inauzwa Bunju beach

Nyumba nzuri ya Ghorofa inauzwa Bunju beach

Iko poa na bei si mbaya.
In nyumba ya kiwango na location nzuri pia.Ingekuwa chini ya 2015 ningejilipua.Lakini ukinunua sasahivi hawakawii kuja kuanza kuchungulia Bank account yako.Mana wanasifa balaaa

Wasiwasi tu huo,mwenyeo si unaungiza hela kwa njia halali?

Nyumba nzuri kwa kweli.

Ukinunua leo bei hiyo after 5 years unauza wa wewe hela inarudi Na faida juu.
 
Kuweka katika mnyumbulisho wa Bilioni unatisha wateja bila ya sababu!!
Ni kweli bora kusema 2844.6 USD hii kidogo inapunguza makali. Nyumba nzuri ila kisu changu mbona kama hakikati maana Cash in hand 5mil + 300bags mpunga) =? Unaweza ukakuta wengine hawako serious nikabeba mzigo ngoja nisubiri
 
Ningependa kuelewa kabla ya kupiga simu.
-Je wewe ni dalali au Mwenye nyumba..!
-Je Nyumba hii imewahi kukopewa mikopo bank..!!
-Na mara ya mwisho imelipiwa kodi mwaka gani..!

Nikiyapata haya majibu utakuwa umerahisisha kazi na kwa wengine na Mungu atakubariki katika biashara hii,,
Ahsante sana.
Mkuu nipigie nikupe majibu yote hayo unayohitaji
 
Mimi najenga maghorofa peponi.
ya.hapa duniani sina haja nayo.
(SIZITAKI MBICHI HIZI)
 
Back
Top Bottom