Hao ndo wenye nchi katika Awamu hiiDah
Umaskini unanuka mifukoni mwa watu
Hao ndo wenye nchi katika Awamu hiiDah
Umaskini unanuka mifukoni mwa watu
[emoji23] Mungu aepushie mbaliHao ndo wenye nchi katika Awamu hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu aepushie mbali
Ndo tayari kesharuhusu maana Rais wetu ni Rais wa Masikini/Wanyonge, nyie matajiri mmeishafaidi vya kutosha, sasa ni zamu ya masikini.[emoji23] Mungu aepushie mbali
Hii nyumba kama ya.....wa................Watu wana mijihela aisee duh
hahahahaaaaDah
Umaskini unanuka mifukoni mwa watu
Hahahah wacha nijifanye nimeelewa kama ya.... Wa......Hii nyumba kama ya.....wa................
Kuweka katika mnyumbulisho wa Bilioni unatisha wateja bila ya sababu!!Mkuu, nyumba inaonekana kuwa nzuri, ila kwa TZS 0.65 Billion usawa huu, ni mbinde sana. Otherwise, all the best.
Hahaha kweli kabisa ila kama kila kitu kiko sawa hakunashida watakuja kukagua na kuondokaKwa kweli nimeona kwa mara ya kwanza watu wa JF wamekubali kwa roho moja nyumba inayouzwa. Lakini kwa zama hizi ni lazima watu waulize maswali ya msingi. Jee ni salama mbele ya TAKUKURU na watu wa TRA? Maana mtu kuuza nyumba ya kifamilia kama hiyo ni lazima ama awe anahamia kwingine ama amejenga nyumba mpya hiyo anauza!!
dovillenproperty
Itanidi mkuu afute kauliNdo tayari kesharuhusu maana Rais wetu ni Rais wa Masikini/Wanyonge, nyie matajiri mmeishafaidi vya kutosha, sasa ni zamu ya masikini.
Anawezaje kufuta kauli ilhali anaitekeleza kwa vitendo, ina maana hujaona korosha Mtwara na Cocoa huko Kyela ?Itanidi mkuu afute kauli
Nimeona mkuuAnawezaje kufuta kauli ilhali anaitekeleza kwa vitendo, ina maana hujaona korosha Mtwara na Cocoa huko Kyela ?
Karibu sana mkuuAysee.. Mjengo safi huo!
Pesa yenyewe huna...Duh! Hiyo pesa si bora nifanyie biashara ninunuwe nyumba ya kawaida
[emoji23]Pesa yenyewe huna...