Nyumba nzuri ya Ghorofa inauzwa Bunju beach

Mkuu, nyumba inaonekana kuwa nzuri, ila kwa TZS 0.65 Billion usawa huu, ni mbinde sana. Otherwise, all the best.
 
Iko poa na bei si mbaya.
In nyumba ya kiwango na location nzuri pia.Ingekuwa chini ya 2015 ningejilipua.Lakini ukinunua sasahivi hawakawii kuja kuanza kuchungulia Bank account yako.Mana wanasifa balaaa
 
Kwa kweli nimeona kwa mara ya kwanza watu wa JF wamekubali kwa roho moja nyumba inayouzwa. Lakini kwa zama hizi ni lazima watu waulize maswali ya msingi. Jee ni salama mbele ya TAKUKURU na watu wa TRA? Maana mtu kuuza nyumba ya kifamilia kama hiyo ni lazima ama awe anahamia kwingine ama amejenga nyumba mpya hiyo anauza!!

dovillenproperty
 
Hahaha kweli kabisa ila kama kila kitu kiko sawa hakunashida watakuja kukagua na kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…