Karibu sana mkuu uone haya mengine yanaongelekaMkuu Chukua 450M
Iko poa na bei si mbaya.
In nyumba ya kiwango na location nzuri pia.Ingekuwa chini ya 2015 ningejilipua.Lakini ukinunua sasahivi hawakawii kuja kuanza kuchungulia Bank account yako.Mana wanasifa balaaa
Ukweli mtupuWasiwasi tu huo,mwenyeo si unaungiza hela kwa njia halali?
Nyumba nzuri kwa kweli.
Ukinunua leo bei hiyo after 5 years unauza wa wewe hela inarudi Na faida juu.
Kweli kabisa mkuuclassic
sponsor hawez fanya jambo hapo ukamiliki mjengo?Bangaloo tamu hilo
Ni kweli bora kusema 2844.6 USD hii kidogo inapunguza makali. Nyumba nzuri ila kisu changu mbona kama hakikati maana Cash in hand 5mil + 300bags mpunga) =? Unaweza ukakuta wengine hawako serious nikabeba mzigo ngoja nisubiriKuweka katika mnyumbulisho wa Bilioni unatisha wateja bila ya sababu!!
Mkuu nipigie nikupe majibu yote hayo unayohitajiNingependa kuelewa kabla ya kupiga simu.
-Je wewe ni dalali au Mwenye nyumba..!
-Je Nyumba hii imewahi kukopewa mikopo bank..!!
-Na mara ya mwisho imelipiwa kodi mwaka gani..!
Nikiyapata haya majibu utakuwa umerahisisha kazi na kwa wengine na Mungu atakubariki katika biashara hii,,
Ahsante sana.
Hahaaa nimekusoma mkuuMimi najenga maghorofa peponi.
ya.hapa duniani sina haja nayo.
(SIZITAKI MBICHI HIZI)
Unakuta hata buku la kula huna?300m vp
Hahahaa uchocheziUnakuta hata buku la kula huna?
Karibu sana mkuuNyumba nzur sana duuh
Unazingua kwaio sote humu tupige cm ndo utupe majibu amaMkuu nipigie nikupe majibu yote hayo unayohitaji
Mkuu tangazo limejitosheleza kabisa, kwahyo hayo mengine ni ubishi tuUnazingua kwaio sote humu tupige cm ndo utupe majibu ama
Hahaha JamiiForums kila mmoja tajiri!!!Unakuta hata buku la kula huna?
Hahaha ukweli mtupuHahaha JamiiForums kila mmoja tajiri!!!
Ila kujifariji muhimu mkuu