Kama kweli kuna mtu ataihitaji hana budi kufanya kama alivyoelekeza jamaa pale juu,tena ndo itakuwa rahisi kwa upande wake siyo kusubiri jamaa ajibu post hapa na sioni logic ya yeye kujibu hapa siri zake kwamba alishawahi kuchukulia mkopo sijui amemaliza mkopo wake hivyo ni vitu vya sirini.Unazingua kwaio sote humu tupige cm ndo utupe majibu ama
Nakushukuru sana mkuu.Kama kweli kuna mtu ataihitaji hana budi kufanya kama alivyoelekeza jamaa pale juu,tena ndo itakuwa rahisi kwa upande wake siyo kusubiri jamaa ajibu post hapa na sioni logic ya yeye kujibu hapa siri zake kwamba alishawahi kuchukulia mkopo sijui amemaliza mkopo wake hivyo ni vitu vya sirini.
Mkuu karibu, nafasi ya maelewano ipo yamkini tunaweza fikia mahalaNakupa 450milioni
Karibu sanaNitakuja kuicheki maana tunaweza kufanya biashara
Watu waliwekeza bila mipangoDah
Umaskini unanuka mifukoni mwa watu
Kuuza na kununua vilikuwepo tangia zama za kaleWatu waliwekeza bila mipango
Mkuu kula 649M tafadhali. Kama upo serious nitumie mkoani blaza.
Awamu hii hakuna wanunuzi.
Je nyumba ina mkopo na mara ya mwisho kulipiwa kodi ni lini,maana nyumba yangu ya ilala hivyo hivyo,nmeingia kichwa kichwa kumbe migogoro kibao ya familia +deni juu la benk,hadi kuja kupewa hati zmentoka hela kibao so weka maelezo vizuri tujue tumazchomoa wapi