Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?
Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku ikiwekwa mabango ya Protea Hotel. Hii ni ishara kuwa nyumba hii imegeuzwa hoteli. Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo.
imegeuzwa kuwa hoteli