Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?

Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku ikiwekwa mabango ya Protea Hotel. Hii ni ishara kuwa nyumba hii imegeuzwa hoteli. Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo. View attachment 3261124 imegeuzwa kuwa hoteli

View attachment 3261124
Huo ndio uwekezaji.Wapo watakaopata ajira za moja kwa moja na wapo watakaopata tenda za vyakula,samaki,nyama,nk
 
Sasa mlitaka wafugę Njiwa?

Wame create job opportunities sasa shida nini?

Na wale waliowekeza Dubai Oman na kwingineko nani afadhali?
 
Back
Top Bottom