Nyumba ya aliyekuwa Rais wa Tanzania yageuzwa hoteli

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?

Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku ikiwekwa mabango ya Protea Hotel. Hii ni ishara kuwa nyumba hii imegeuzwa hoteli. Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo. imegeuzwa kuwa hoteli

Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Maskini ya Mungu viongozi wetu. Wanatumia nguvu kubwa kutuongoza kwa ujira mdogo, kushindwa hata kumudu kupata kijumba cha kujihifadhi baada ya kustaafu.
 
Hii alipewa na serikali au ni zile nyumba za serikali ambazo ziliuzwa kwa watumishi wake?

Maana Marehemu Mkapa ana nyumba pia ufukweni Masaki kule karibu na jeshi, nahisi kule ndipo alipojengewa na serikali...
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Maskini ya Mungu viongozi wetu. Wanatumia nguvu kubwa kutuongoza kwa ujira mdogo, kushindwa hata kumudu kupata kijumba cha kujihifadhi baada ya kustaafu.
Ni huruma mno kaka hawa viongozi ni maskini wakutupwa kuliko sisi wananchi...angalia mtoto wa mwigulu anasoma shule ya Feza ambayo hawana walimu tena wanakaa tu chini pale...Abdul mtoto wa samia ni saidia tu wa ujenzi kule mvuti
 
Ikumbukwe kuwa serikali ya Tanzania Huwa inawajengea nyumba za kifahari maraisi wastafu kwa vile Huwa hawana uwezo wa kujenga nyumba zao na vipato vyao ni vidogo.
Labda kwa rais wa awamu ya kwanza pekee, wengine waliofuata sivyo.

Kuna mmoja alionekana pichani akifanya tafrija ya "Birthday" ndani ya Hekalu lake New York
 
mbowe ameinunua tayari kama ni protea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…