BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Ndio 'Warioba' ingawa kwenye wasifu lipo ila kwenye Wikipedia halijawekwaWarioba halina maana zaidi ya kutujuza alizaliwa asubuhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio 'Warioba' ingawa kwenye wasifu lipo ila kwenye Wikipedia halijawekwaWarioba halina maana zaidi ya kutujuza alizaliwa asubuhi.
Pumbavu.Kumbe ndugu wewe ni mzanaki?
Hapa umeenda tofauti sio Mtwara na gesi gesi ya Mtwara wamepewa kampuni ya Norway km sijakosea nipo sahihi sio China na hii mboni ipo wazi ni China kupewa Bagamoyo na Bandari ya Bagamoyo kwa muda wa miaka 100 bila Serikali kugusa hata 100 wafanyie wanavyotaka yaan bandari ichimbwe kisha itanuliwe ili Meli kubwa kubwa ziweze kufika kushusha makontena na kupakia makontena na athari moja wapo ilikua ni kuiua bandari ya Dar na hili Magu 'RIP' alilishikia bango akaligomea na clip ipo akiwa analizungumzia hili Jambo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandikana kubwa Zaid ni mtoto wake kukamatwa na madawa ya kulevya China yeye akaona akoe uhai wa mwanae kwa kuwapa wachina uwekezaji wa kudumu wa gesi iliyopo mtwara, just imagine yaani mtu u aliweka rehani taifa kwa ajili ya ujinga wa mwanae
Matusi ya nini sasa?Pumbavu.
Ila kuna watusi na wahutu,bado unaendelea kutengeneza pombe unazokunywa ndugu?Hakuna kabila la wahindi Tanganyika.Kama mnampenda sana huyu Aghakan nendeni India tuachieni Tanganyika yetu.
Kuna mwanae mmoja ameingia Jw juzi juzi baada ya WZ MK kumtembelea mzee alikua hana hata habari ya kumfanyia mchongo mwanae … ni ile Mzee Blessed kuuliza Huyu dogo wa mwisho vipi ? akaambiwa ni graduate hana mchongo ndio akamnyooshea mkonoMwenye kujua watoto wa Msuguli
Nyumba ya hayati john Apiyo aliyekuwa katibu mkuu Ofisi ya Rais ilipelekewa Rais Mkapa asiamini macho yake alipoiona nyumba ya Apiyo alipoenda kumjulia hali Afya yake.Mwal alijenga viongozi waadilifuTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
HakikaTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Like serious?Kuna mwanae mmoja ameingia Jw juzi juzi baada ya WZ MK kumtembelea mzee alikua hana hata habari ya kumfanyia mchongo mwanae … ni ile Mzee Blessed kuuliza Huyu dogo wa mwisho vipi ? akaambiwa ni graduate hana mchongo ndio akamnyooshea mkono
Duh 🙄Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia
Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.
CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi
Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.
Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa
Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.
Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe
Mbona unashangaa Mjukuu?Duh 🙄
Dunce.Matusi ya nini sasa?
utakimbia sasa hivi kuwaita mods.Sijui nadharirishwa kila siku mimi tuu.ooh Jamii forums founder ingilia kati.
Nimekuuliza kistaarabu tu
Endelea tuu.
AiseeeMbona unashangaa Mjukuu?
Hiyo nyumba inafichwa sana picha haziruhusiwi kupigwa ina dosari gani wakuuTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Nasikia mmoja wao alikuwa MTU wa madeuAisee, hiyo nyumba unaiona ya kawaida? Ni sababu unaiangalia katika zama hizi, back then hiyo ilikuwa ni bonge la jumba, unatamani upigieopo angalau kapicha lakini muda wote pana ulinzi timamu, ingawa baada ya kustaafu alikuwa haishi hapo.
Walibaki watoto wake akina Anthony na Bakono
Kuna aliyekuwa waziri mdogo wa ulinzi miaka ya Mwalimu aliitwa Lt Col Mwakyambiki, yeye aliishi Temeke Wailesi bila kukjikweza na aliishi maisha ya kawaida kabisa.Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Kwani ukifa inakwenda nayo, kaangalie wenye mijengo baada ya kufariki hivi sasa ipo kwenye hali gani.Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.