Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Alifanya vizuri sana kuwapandisha hadhi hao watano. Vinginevyo pengine wangeishia kugawa.Usisahau alikua na wake watano! Kila mtu huwekeza apendapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanya vizuri sana kuwapandisha hadhi hao watano. Vinginevyo pengine wangeishia kugawa.Usisahau alikua na wake watano! Kila mtu huwekeza apendapo!
Ni huu umaskini tu ila bongo maisha ni lami kama kibunda kipo. Hutatamani kwenda nchi yeyote ile. Maana starehe zote zipo hapa nchini kwa level zote.Hawataki kurudi kwao 😀😀
Mtafute sheikh Kishki kisha urudie kusoma uzi wakoNdugu yangu akimaliza kukujibu aje aseme waislamu wana NGO gani kubwa hapa nchini inayosaidia jamii ? Na wamejenga chuo, taasisi au hospitali kubwa ipi hapa nchini ?
Eamws unaijua?!..kulikua na agha khan ndani, mpango wa elimu ulikuwepo wakitaka kujenga university chang'ombe, nyerere aliifanya nini hiyo taasisi!!Ulilileta hili wewe kumlaumu Nyerere kwa udini unasahau kwanza bila Nyerere mngeishia kusoma kitabu cha majini
Yaani Nyerere awe mdini?Hakutaka watz wawe matajiri,alitaka walingane vipato,usimuamini nyerere,ukimsikia anavyopinga udini utasema siyo mdini wakati ni chief architect,huyo cdf mwenyewe sijui mzanaki mwenzie!!?
Utakatifu anaotaka kupewa huko ukatoliki unatokana na nini!?Yaani Nyerere awe mdini?
Toka lini mkomunisti akawa mdini?
Hamna aliezuiwa kujenga shule wala Hospital 🏥 ila nyie na zaka zenu za buku buku hamuwezi jenga na mwarabu atachimba kisima msikitini hana mentality ya elimu 😄 🤣 😂 acheni kulaumu laumu hadi wasabato na suti zao wamewashindaEamws unaijua?!..kulikua na agha khan ndani, mpango wa elimu ulikuwepo wakitaka kujenga university chang'ombe, nyerere aliifanya nini hiyo taasisi!!
Unazungumzia lini?..leo kuna shule zaidi ya mia tatu za kiislam,na hapo tumeanza miaka ya 80 baada ya waziri wa kwanza muislam kushika wizara ya elimu na kusema hakuna kizuwizi cha kujenga shule, maana kabla,wizara ya elimu ilikua kigango cha kanisa na watendaji wakikwaza waislam waliotaka jenga shuleHamna aliezuiwa kujenga shule wala Hospital 🏥 ila nyie na zaka zenu za buku buku hamuwezi jenga na mwarabu atachimba kisima msikitini hana mentality ya elimu 😄 🤣 😂 acheni kulaumu laumu hadi wasabato na suti zao wamewashinda
Waislamu wengi akili zenu mavi sana kubishana na nyie ni kupoteza muda tu.Utakatifu anaotaka kupewa huko ukatoliki unatokana na nini!?
Mawaziri waislamu walikuwepo toka 1961 ikawaje shule hadi miaka ya 80!! However 300 bado ni chache na bila shaka performance is mostly poor maana hamtaajiri competent mwalim kama sio dini yenu wala ku admit wanafunzi wasio wa dini yenu! You ow to lern from the Christians how did they get to where they are today instead of giving blatant lies and blame gamesUnazungumzia lini?..leo kuna shule zaidi ya mia tatu za kiislam,na hapo tumeanza miaka ya 80 baada ya waziri wa kwanza muislam kushika wizara ya elimu na kusema hakuna kizuwizi cha kujenga shule, maana kabla,wizara ya elimu ilikua kigango cha kanisa na watendaji wakikwaza waislam waliotaka jenga shule
Waziri gani wa elimu alikua muislam kabla ya malima 1987/88?Mawaziri waislamu walikuwepo toka 1961 ikawaje shule hadi miaka ya 80!! However 300 bado ni chache na bila shaka performance is mostly poor maana hamtaajiri competent mwalim kama sio dini yenu wala ku admit wanafunzi wasio wa dini yenu! You ow to lern from the Christians who did they get to where they are today instead of giving blatant lies and blame games
Mkuu ngongo uko pande zipi hapo USA nikutume ukamsalimu shemeji yako?Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Watanzania tuko hivyo, ingekuwa ghorofa liko upanga ungesikia, alilipataje, mwizi na maneno ya hivo. Sasa iko hivyo pia hawataki kukubali.Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Nojuavyo hawa watu wanakua usalama pia,moja ya siri kubwa kwao nikua msiri usitegemee atangaze alichonacho au aliowekeza mtamuona mjinga lkn akawa na mengine ameyaficha au kuandika majina ya watu wengineTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.