Wewe ni bogus,wapi nilikataa hakuna wizi serikalini?!.. vitunguu ni mfano tu, ulitaka nitaje kila zao,ulienda shule?..hujui kuwa wakati wa nyerere mtu akifisidi ofisi moja atahamishiwa nyingine kwa kisingizio cha wasomi hawatoshi?..mpwae warioba alikua rushwa ushirika,huko ushirika wakati wa nyerere ufisadi ulikua kawaida, mashirika ya umma ya nyerere ufisadi kawaida hadi yakafa
Wanaojali utawala bora hawawezi mfunga mtu kama mahakama imeshindwa mkuta na hatia mtuhumiwa, tofauti na hapo wekeni sheria ukituhumiwa ufungwe bila ushahidi