Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

na kubwa Zaid ni mtoto wake kukamatwa na madawa ya kulevya China yeye akaona akoe uhai wa mwanae kwa kuwapa wachina uwekezaji wa kudumu wa gesi iliyopo mtwara, just imagine yaani mtu u aliweka rehani taifa kwa ajili ya ujinga wa mwanae
Hapa umeenda tofauti sio Mtwara na gesi gesi ya Mtwara wamepewa kampuni ya Norway km sijakosea nipo sahihi sio China na hii mboni ipo wazi ni China kupewa Bagamoyo na Bandari ya Bagamoyo kwa muda wa miaka 100 bila Serikali kugusa hata 100 wafanyie wanavyotaka yaan bandari ichimbwe kisha itanuliwe ili Meli kubwa kubwa ziweze kufika kushusha makontena na kupakia makontena na athari moja wapo ilikua ni kuiua bandari ya Dar na hili Magu 'RIP' alilishikia bango akaligomea na clip ipo akiwa analizungumzia hili Jambo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika
 
Hakuna kabila la wahindi Tanganyika.Kama mnampenda sana huyu Aghakan nendeni India tuachieni Tanganyika yetu.
Ila kuna watusi na wahutu,bado unaendelea kutengeneza pombe unazokunywa ndugu?
 
Nyumba ya hayati john Apiyo aliyekuwa katibu mkuu Ofisi ya Rais ilipelekewa Rais Mkapa asiamini macho yake alipoiona nyumba ya Apiyo alipoenda kumjulia hali Afya yake.Mwal alijenga viongozi waadilifu
 
Hakika
Halafu tunawasingizia wazungu kwamba ndo wanatuibia as if wanatulazimisha
 
Kuna mwanae mmoja ameingia Jw juzi juzi baada ya WZ MK kumtembelea mzee alikua hana hata habari ya kumfanyia mchongo mwanae โ€ฆ ni ile Mzee Blessed kuuliza Huyu dogo wa mwisho vipi ? akaambiwa ni graduate hana mchongo ndio akamnyooshea mkono
Like serious?
 
Duh ๐Ÿ™„
 
Kwamba kiongozi kuwa na nyumba ya kawaida ni uadilifu. Kuna walimu Wana nyumba nzuri na hawajaiibia Serikali, badala ya kupima kuwa mshahara na kiwango Cha maendeleo Cha mtu vinaendana?

Watu wanasema huyu kiongozi alikuwa muadilifu, hivi mbona wakulima huko usukumani Wana majumba mazuri na usafiri na wakawekeza Hadi kwenye biashara?

Sidhani na siamini kuwa kiwango Cha uadilifu ni kutumia mshahara wako wote kwenye [mambo mengine].

Dhana hii Haileti picha nzuri na Wala haitengenezi wawekezaji wa ndani.
 
Hiyo nyumba inafichwa sana picha haziruhusiwi kupigwa ina dosari gani wakuu
 
Nasikia mmoja wao alikuwa MTU wa madeu
 
Uwe cdf ushindwe kujenga nyumba Kali huo ni uzwazwa sivitu vya kusifia hivyo!!
Inaezekana aliwekeza Kwa ma "d-ii-emu-yuu"
 
Kuna aliyekuwa waziri mdogo wa ulinzi miaka ya Mwalimu aliitwa Lt Col Mwakyambiki, yeye aliishi Temeke Wailesi bila kukjikweza na aliishi maisha ya kawaida kabisa.
Leo waziri mdogo kuishi Temeke ni ndoto.
 
Kwani ukifa inakwenda nayo, kaangalie wenye mijengo baada ya kufariki hivi sasa ipo kwenye hali gani.
 
Kwani ukifa inakwenda nayo, kaangalie wenye mijengo baada ya kufariki hivi sasa ipo kwenye hali gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ