Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Leo wazalendo kama akina Kafulila wanaonekana ni kero
 
Umenichekesha hiyo akitaka kuamka kula saa 8nza usiku....

Wewe si unaona wanapanga wawalipe mishahara wanawake wao wanakaa tu nyumbani, yaani nashukuru si mwanasiaha...ningetapika

Wanasiasa ni walafi asikuambie mtu.

Kuna mfano mmoja wa watoto wa shule za kayumba hawana outing na kama wakitoka kishule wanakwenda dsm zoo. Watoto wao kwenye English medium wanakwenda South Africa, Dubai na ufaransa
 
USA Unafanya Nini mzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…