House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

Hyo bei unayo propose ni hasara bora asiuze kabisa
 
Oky njoo tukuuzie
 
Hahaha ndio ivyo ndg maana wanaongea tu bila kujua thamani ya nyumba ilipo
Wanunuzi utawajua lakini hapa ni kujifurahisha tu kwa wengi
Lakini bei za close to beach ni juu sana ningependa kupata kiwanja huko ila sio kwa bei ninazoziona
 
Maajabu ya jf utakuta watu wanaponda ila kuna watu wanampigia muuzaji kitu simu na wanapanda dau.

Nilijifunza hilo nilipokua nauza Tecno yangu
 
Unadhani eneo hilo bei ya serkal ni kiasi gani mkuu?
MKUU utaumiza kichwa bure humu wengi tunaishi Tegeta kwa ndevu,Kinzudi,Tandale,Mansese,magomeni kagera nk.Kwahiyo elimu dunia juu ya real estate hatuna,kwaiyo hatujui kuwa location ya nyumba inaamua bei.
"Sio wote wanaobeba majembe ni wakulima Bali wengine ni waganga wanaenda polini kuchimba dawa"
 
Maajabu ya jf utakuta watu wanaponda ila kuna watu wanampigia muuzaji kitu simu na wanapanda dau.

Nilijifunza hilo nilipokua nauza Tecno yangu
Ndio ivyo mkuu wakatisha tamaa wako kila mahali
 
Wewe ndio umesema hicho kiwanja hakina thamani hiyo mkuu!

Kwa maana nyingine ni kwamba thamani yake wewe unaifahamu ... be serious mkuu
Be realistic! Nimefanya hesabu rahisi na kuona kuwa kwa bei uliyotaja ni kwamba 1sqr meter ni zaidi ya 350,000/= Sasa kwa maeneo hayo hiyo ndio bei halisi ya kiwanja kwa mita moja ya mraba? Hiyo bei imewekwa kwa kuangalia vigezo gani?
Weka wazi hapa vigezo vilivyothaminisha hiyo ardhi kwa hiyo bei...na siyo kuleta taarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…