Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo bei unayo propose ni hasara bora asiuze kabisaBei hizi watu wanapanga tu wanajisemea vyuma vimekaza balaa. Makontena ya makontena thamani ya mzigo haifiki milioni 60 wao wanafosi wauze hivyo. Kwenye uchumi demand and supply Ndio hupanga bei kwa Sasa bei za viwanja zimestack na zinashuka. Watu wananunua viwanja wanajenga kwa hilo gofu hapo ndugu yangu unajidanganya. Kiwanja Pokea milioni 200 na Hiyo Nyumba kwa Huruma Fanya 100. Hata za lugumi zilikwama na zilikua classic hakupata Hiyo Pesa Hebu jiongeze basi Broo.
Unajua kinachouza sio nyumba bali eneo husika, nyumba za lugumi zipo mbweni tofautishaHuwezi kuwa serious wewe......mill 800......wewe hivi iliona ile mijumba alionunua Dr shika? Itafanana na hyo inayotuonesha hapo?
Oky njoo tukuuzieBei hizi watu wanapanga tu wanajisemea vyuma vimekaza balaa. Makontena ya makontena thamani ya mzigo haifiki milioni 60 wao wanafosi wauze hivyo. Kwenye uchumi demand and supply Ndio hupanga bei kwa Sasa bei za viwanja zimestack na zinashuka. Watu wananunua viwanja wanajenga kwa hilo gofu hapo ndugu yangu unajidanganya. Kiwanja Pokea milioni 200 na Hiyo Nyumba kwa Huruma Fanya 100. Hata za lugumi zilikwama na zilikua classic hakupata Hiyo Pesa Hebu jiongeze basi Broo.
Hahaha ndio ivyo ndg maana wanaongea tu bila kujua thamani ya nyumba ilipoUna uvumilivu sana kwa majibu ya wadau duu yaani
Hicho kiwanja hakina hiyo thamani...Hapo chenye thamani ni eneo husika wala si nyumba mkuu
Unadhani eneo hilo bei ya serkal ni kiasi gani mkuu?Hicho kiwanja hakina hiyo thamani...
Kwa ukubwa huo ulioutaja na bei uliyoiandika ni dhahiri kuwa sqr mita moja ni zaidi ya 350,000/= Sasa ni wapi square meter moja inauzwa bei hiyo?
Taja hiyo bei ya serikali siyo kuuliza maswali...Unadhani eneo hilo bei ya serkal ni kiasi gani mkuu?
Malipo ya USD? Au unawauzia wamarekani?Why?
Wewe ndio umesema hicho kiwanja hakina thamani hiyo mkuu!Taja hiyo bei ya serikali siyo kuuliza maswali...
Wanunuzi utawajua lakini hapa ni kujifurahisha tu kwa wengiHahaha ndio ivyo ndg maana wanaongea tu bila kujua thamani ya nyumba ilipo
Mkuu inabidi upange siku uje utembetembe ufanye window shoppingWanunuzi utawajua lakini hapa ni kujifurahisha tu kwa wengi
Lakini bei za close to beach ni juu sana ningependa kupata kiwanja huko ila sio kwa bei ninazoziona
Tatizo siko huko mkuu ila kama una insta labda nipitishe machoMkuu inabidi upange siku uje utembetembe ufanye window shopping
MKUU utaumiza kichwa bure humu wengi tunaishi Tegeta kwa ndevu,Kinzudi,Tandale,Mansese,magomeni kagera nk.Kwahiyo elimu dunia juu ya real estate hatuna,kwaiyo hatujui kuwa location ya nyumba inaamua bei.Unadhani eneo hilo bei ya serkal ni kiasi gani mkuu?
Ninayo inst ingawa siitumutunii mara kwa mara lambda unipe no yako au unitumie sms whtsp kwenye no yangu thn nitakutumia hapoTatizo siko huko mkuu ila kama una insta labda nipitishe macho
Ndio ivyo mkuu wakatisha tamaa wako kila mahaliMaajabu ya jf utakuta watu wanaponda ila kuna watu wanampigia muuzaji kitu simu na wanapanda dau.
Nilijifunza hilo nilipokua nauza Tecno yangu
Be realistic! Nimefanya hesabu rahisi na kuona kuwa kwa bei uliyotaja ni kwamba 1sqr meter ni zaidi ya 350,000/= Sasa kwa maeneo hayo hiyo ndio bei halisi ya kiwanja kwa mita moja ya mraba? Hiyo bei imewekwa kwa kuangalia vigezo gani?Wewe ndio umesema hicho kiwanja hakina thamani hiyo mkuu!
Kwa maana nyingine ni kwamba thamani yake wewe unaifahamu ... be serious mkuu