K kibuyu180 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 1,717 Reaction score 1,823 Jul 20, 2019 #101 Mkuu ni eneo zuri kwa kweli. Porojo nyingi hatuna pesa. Navyojua mimi mwenye uhitaji anasema alichonacho kama mnakubaliana biashara inafanyika. Mimi ntakuja kupaona
Mkuu ni eneo zuri kwa kweli. Porojo nyingi hatuna pesa. Navyojua mimi mwenye uhitaji anasema alichonacho kama mnakubaliana biashara inafanyika. Mimi ntakuja kupaona
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 Jul 26, 2019 #102 10000000 itapendeza
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,482 Reaction score 3,999 Aug 14, 2019 #103 Jumong S said: USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani. Click to expand... Eheeee hivi why in the hell niweke hela kama hizo kwenye nyumba afterral sina bahati yake,
Jumong S said: USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani. Click to expand... Eheeee hivi why in the hell niweke hela kama hizo kwenye nyumba afterral sina bahati yake,
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Aug 14, 2019 #104 Jumong S said: USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani. Click to expand... Labda location ndio imepaisha hiyo bei...
Jumong S said: USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani. Click to expand... Labda location ndio imepaisha hiyo bei...