Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eheeee hivi why in the hell niweke hela kama hizo kwenye nyumba afterral sina bahati yake,USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani.
Labda location ndio imepaisha hiyo bei...USD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani.