Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

I don’t think so , mind you vitu vya marehem pia vimeharibika na mafuriko of which anasema ni kumbu kumbu muhimu kwao as family so point yako siipi nguvu sana

Yet she ain’t broke to such extent ya ku stage floods that’s a big no

Umeviona vitu vya marehemu vilivyoaribika? Zaidi ya zile meza za kioo na friji na kinanda na chupa za wine kwa nini watoe vingine wapeleke juu

insurance halipi tu bila kujilidhisha na Main share holders wakubali kusign

zamani alikua anasign mama mercy na mzee Mengi ili insurance Ilipe
 

Great , if you say so , unadhan Alikua na haja ya ku share on insta if anatak Insurance ilipe c angewatumia tu wenyew directly?
 
I don’t think so , mind you vitu vya marehem pia vimeharibika na mafuriko of which anasema ni kumbu kumbu muhimu kwao as family so point yako siipi nguvu sana

Yet she ain’t broke to such extent ya ku stage floods that’s a big no
Naona upo vizuri kwenye ngeli, tukikupa mgombea wa chama chetu, utaweza kumfundisha vizuri ?
 
Hataki kuishi kwenye Apartment anataka Kuishi kwenye Mansion ili ale vizuri hela za insurance na wanazengo wasimcheke akiama pale
Ahahaha 😂😂😂😂😂Insurance wanamlipa Natural disaster au frequent disaster au planned disaster . Kuna wakati mzee akiwa hai waliwahi letwa expatriets wa kuzuia mafuriko kwenye ile mansion nadhani walikula pesa yao wakawaachia mfereji kama ulivyo 😂😂😂😂😂
Aje kwa mpalange huku buza burudaaani hatuwezi kumcheka kabisa mbona tumeshajua amefiwa so life will never ever be the same again tutampa mbilimbi zetu atafunie ugali
 
Ahame bondeni
 
It might have been staged , ili alipwe na insurance ndio maana amewahi social media kutafuta huruma

Raisi tu wanaweza kutoboa somewhere Maji yaingie. Then alipwe na hivi kafulia ndio kabisa anapigia hesabu hela ya insurance [emoji23][emoji23]
Child support hapati kwani?
 

Hata kama humpendi k lyn.. unatudanganya sana... je mengi ana kampuni yake binafsi ya insurance anayoimiliki yeye mwenyewe?.. yaani insurance hailipi hadi mengi na mercy wasaini.. sasa hapo mercy na mengi ni wateja wa insurance au wamiliki wa insurance?

Kama wewe mteja wa insurance ndie unasaini ulipwe na unalipwa. Si utajisainia sana na kufilisi insurance companies?

Mengi na mercy ni client wa insurance .. client hana ruhusa ya maamuzi kama alipwe wala hasilipwe.. sababu kutakuwa na conflict of interest
 
Huyu ushamba unamsumbua alafu anataka jamii imuonee huruma. Hiyo nyumba miaka yote inakumbwa na mafuriko. Mzee kimya kimya alikuwa analipwa n insuarance. Si ajabu labda bima imeisha
 
I don’t think so , mind you vitu vya marehem pia vimeharibika na mafuriko of which anasema ni kumbu kumbu muhimu kwao as family so point yako siipi nguvu sana

Yet she ain’t broke to such extent ya ku stage floods that’s a big no
Watu wanapenda sana kuzusha conspiracy theory bila hata ushahidi.
 
Ahame bondeni
It was not necessary to share this. Nadhani mtu mwenye staha anatakiwa ajwe ni kipi kitoke na kipi kisitoke. Hayo mafuriko yalikuwa yanatokea siku za nyuma, lakini mzee alipokuwepo, hiyo ilikuwa private matter. sasa kaondoka hayo yanakuwa for public consumption! Shame on her!
 

Asije kuambiwa aliuza au kuhamisha mali za marehem c unajua Wanazengo
 
Mkuu utalipwaje wakati hati ya nyumba haina jina lako[emoji23][emoji23]
 
Umekulupuka, umesoma soma kidogo ?anaetakiwa atoe claim ni mwenye Nyumba na mwenye hiyo nyumba ni IPP under Reginald Mengi and Mercy Mengi sio nyumba ya Kylin

whatever happens lazima wawepo kuidhinisha/kutoa claims wenye mali ambao ni directors wa IPP waliopo sasa

mfano gari yenye jina lako ikipata ajali ndugu au mtu uliemkodisha aendeshe anaweza kwenda insurance company kudai?
 
Tena sio ordinary Star , ni Star first class , na ako na pesa na anaweza lisha familia yako Mwaka mzima. Have a good day

alishe familia nzima kwa child support ya usd 2000 kwa mwezi 😂😂😂😂😂hacha kutudanganyA wewe tunaijua hiyo familia vizuri kabisa

eti ako na pesa kwa Mradi upo alionao? Yeye asubili case iishie anaweza akapata kidogo anacho deserve
 

Mke wa mengi alishafariki na waliachana na mumewe na nadhan waligawana kila kitu 50/50, kwa nini msikubali ukweli ya kwamba k-Lynn ndiye mke wa the late mengi na ana haki zote kama mke

Kama mengi alimuoa kama mke wake sisi ni. Nani Jaman tumpinge, ifike mahali tusijifanye tunajua sana familia za watu

Kama mali zingekua hazimuhusu kwenye nyumba ya marehemu anafanya nini?

Tukumbuke Jacky was a wife to Mengi not a concubine, hakua danga she was a formal wife
 

Labda kama haijalipiwa insurance.. ila k kyn ana watoto wa mengi pia... na pale ni amepewa aishi na watoto wake.. unazani nani ana uwezo wa kuzuia bima wasilipie uharibifu ambao mkataba wao wanapaswa ku cover..

Tatizo wabongo wivu unatusumbua... k lyn ni mke halali wa mengi ana watoto wawili wa mengi.. hiyo tu inampa haki zote za kuhudumiwa na hao ipp directors...

Maskini hatuendelei kwa kuchukia matajiri...k lyn ni mjane wa tajiri .. kwa hiyo ana haki ya kuhudumiwa kivyovyote vile.. na wale watoto wa k lyn ndio maana wanasomeshwa IST na wakiwa wakubwa watapewa nafasi kwenye kampuni za baba yao..

K lyn hata iweje hawezi kuishi maisha ya sisi wa kutegemea mishahara mpaka kufa kwake.. k lyn hawezi kufikia level ya kupanda dala dala...labda atake mwenyewe kama lowassa alivyopanda mwaka 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…