usisahau kueleza pia ni nyumba zinazohitaji uwe umejipanga vizuri kigarama kwa sababu cost yake hasa kwa ujumla ni zaidi ya nyumba ya kawaida..
hili ni vyema watu waelewe kisaikolojia usijenge nyumba za kuficha kwa mtizamo wa kupunguza garama.. itakugarimu kama inajenga kwa kupenda design basi fanya kila kitu kama kilivyodesgniwa hii ni kwa sababu nyumba ya kuficha bati inavitu vingi vya kuzingatia katika ujenzi wake kwanzia level za awali mpaka hatua za finishing
lazima uwe umezingatia maji yanamwagika wapi na usalama uwepo( wakutovujisha), lazima ulinde kuta ambazo hazina ovehang ya bati kwa kuweka finishing madhubuti, lazima uweke cover nzuri kwenye openings ( hasa madirisha maji yasiweze ingiza). n.k. hizi zote ni gharama ambazo zitacost tena huenda zaidi au ziwe sawa na nyumba ya nazi la kawaida.. ila usiwe na mtizamo wa kuwa kuna gharama utakwepa