Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

I understand my comment may seem out of place on your thread, as it relates to a business post. However, since the post isn’t officially classified as an advertisement but rather a regular Jamii Forum discussion, I believe I’m within my right to share my opinion. I always disapprove contemporary designs they're no longer contemporary they're old school and non appealing designs!
😀ok
 
usisahau kueleza pia ni nyumba zinazohitaji uwe umejipanga vizuri kigarama kwa sababu cost yake hasa kwa ujumla ni zaidi ya nyumba ya kawaida..
hili ni vyema watu waelewe kisaikolojia usijenge nyumba za kuficha kwa mtizamo wa kupunguza garama.. itakugarimu kama inajenga kwa kupenda design basi fanya kila kitu kama kilivyodesgniwa hii ni kwa sababu nyumba ya kuficha bati inavitu vingi vya kuzingatia katika ujenzi wake kwanzia level za awali mpaka hatua za finishing

lazima uwe umezingatia maji yanamwagika wapi na usalama uwepo( wakutovujisha), lazima ulinde kuta ambazo hazina ovehang ya bati kwa kuweka finishing madhubuti, lazima uweke cover nzuri kwenye openings ( hasa madirisha maji yasiweze ingiza). n.k. hizi zote ni gharama ambazo zitacost tena huenda zaidi au ziwe sawa na nyumba ya nazi la kawaida.. ila usiwe na mtizamo wa kuwa kuna gharama utakwepa
Kama ndio hivyo, bora kujenga ghorofa tu.
 
Nafikiri contemporary inatumika aina za nyumba bati limefichwa halionekani pembeni isipokuwa kwa juu pekee. Hizo nyumba kwa mafundi wetu wa bongo zina changamoto sana za kuvuja wakati wa mvua kubwa kipindi cha masika.

Binafsi nilijenga hiyo nyumba kama servant quarter aisee imenisumbua sana mpaka sina mzuka nazo kabisa. Wakati wa mvua kubwa sana kipindi cha masika maji yanayojaa kwenye bati ni mengi kuliko yannayotoka kiukweli ni majanga ya kuvuja na ukuta unaloa sana.
Contemporary ni usanifu (architecture) unaoakisi mitazamo, teknolojia, na mahitaji ya sasa (wakati wa kisasa). Ni usanifu wa majengo unaojengwa au kuundwa katika enzi ya sasa, ukizingatia uhuru wa ubunifu, mahitaji ya kijamii, teknolojia mpya, na mara nyingi masuala ya mazingira. Hayo ni matumizi mabaya ya neno "contemporary" kwenye usanifu.
 
Back
Top Bottom