Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hawa jamaa walijitenga kwa ajili ya covid 19.Hapo nimeuma wapi na nimepuliza wapi?.
Hapo kila nilichosema ni facts. KUB ana hadhi sawa na PM, hivyo anapewa nyumba, gari, dereva, wasaidizi, ofisi, wahudumu wa ofisi na msaidizi.
P
Hao walinzi wake wakamatwe, inaonekana wao ndo walimpiga, pia mtu wa kwanza kupata hizo taarifa alikuwa nani?Njaa ni kitu Kibaya sana. Omba Mungu isikimbilie Kichwani kama ya huyu Jamaa.Kawe Alumni...
Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.
Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na kuvunjika. Ndugai kasema madaktari wake walimjulisha kuwa Mbowe alikua amelewa chakari.
Kibajaj akasema alianguka akiwa na mwanamke na mwanamke huyo alikimbia. Waitara amemtaja mwanamke huyo kwa jina bungeni. Yani majungu majungu tu.
Kama kuna utata kuhusu kuvamiwa kwa Mbowe, utata huo unapaswa kumalizwa na mambo mawili tu.
#Mosi; Mbowe ana walinzi wa aina mbili. Wa serikali (TISS) na wa chama (Red Brigade). Serikali ilimuondolea Mbowe walinzi mwezi uliopita kwa sababu ya issue ya Covid19 walipotoka bungeni.
Lakini hata baada ya kurudi bungeni hakurudishiwa ulinzi. Hapa kuna kitu hakiko sawa. Kwanini viongozi wengine walibaki na walinzi kama issue ni Covid19? Na kwanini Mbowe hakurudishiwa ulinzi hata baada ya kurudi bungeni?
Wanaohoji kuhusu ulinzi wa Mbowe wanapaswa kuhoji mambo mawili. Kwanini serikali haikumrudishia ulinzi baada ya kurudi bungeni kisha wahoji walinzi binafsi wa Mbowe (red brigade) walikua wapi wakati anavamiwa.
#Pili; Nyumba anayoishi Mbowe ina CCTV 24hrs. Kwnn picha za CCTV zisiwekwe hadharani? Kama alianguka ataonekana na kama alivamiwa ataonekana pia. Kwanini tunapoteza muda kusigana kwenye jambo ambalo ukweli wake ni rahisi tu kupatikana?
Nyumba anayoishi akiwa Dodoma (kama KUB) ni ya serikali with CCTV system. Hata wanaoaccess "control room" ni maafisa wa serikali. Kwanini serikali isitoe hizo picha zinazoonesha Mbowe akianguka?
Kwa ninavyoijua serikali ya CCM ingekua kweli Mbowe kaanguka usiku akiwa na mwanamke na "Faru John" mkononi, nina uhakika wangeprint hizo picha na kuzisambaza kuanzia Lupiro kule Ulanga hadi Yombo Buza kwa Abiola.
Lakini ukiona serikali inakomaa kuwa Mbowe alianguka, lakini haitaki kutoa picha za CCTV, halafu serikali hiyohiyo ilimuondolea ulinzi mwezi mmoja tu uliopita, lazima uhisi kuna kitu. WaTZ wa leo sio wajinga.!
Ujumbe mzito Sana huu bila kutumia nguvu nyingi.It's true nyumba ya KUB ina CCTV, ila Mhe. Mbowe aligoma kuitumia, hivyo ndio ile iliyokuwa ikitumiwa na Lissu!. Kitu ambacho mimi sikijui ni labda kama baada ya Lissu kufutwa ubunge, Mhe. Mbowe hatimaye alikubali kuhamia kwenye hiyo nyumba rasmi ya KUB ambayo ni ya serikali, ina CCTV, ulinzi na wafanyakazi wote wakilipwa na serikali ikiwemo gari, dereva na msaidizi.
P
Lissu aliposhambuliwa siku ya tatu au ya nne polisi Dom walisema hadharani kwamba wameanza uchunguzi kwa kuangalia CCTV Camera lakini inaonekana kuna mnene aliwaonya na hawakutoa kauli nyingine tena kuhusu CCTV Camera hivyo hata shambulizi hili la Mbowe si ajabu wasiojulikana wameshacheza nazo.
Nijuavyo Mbowe aligoma kuishi nyumba ya KUB akampa Lissu, sasa kama hatimaye alikuja kukubali kuitumia, this is news to me.Kuna mbunge jana kasema yeye ni jirani yake, labda kama huyo mbunge pia anakaa mtaani, otherwise ,Mbowe anaishi kwenye nyumba hizo za serikali
Hawa wa Red brigade wameondolewa na nani?#Mosi; Mbowe ana walinzi wa aina mbili. Wa serikali (TISS) na wa chama (Red Brigade). Serikali ilimuondolea Mbowe walinzi mwezi uliopita kwa sababu ya issue ya Covid19 walipotoka bungeni.
Lakini hata baada ya kurudi bungeni hakurudishiwa ulinzi. Hapa kuna kitu hakiko sawa. Kwanini viongozi wengine walibaki na walinzi kama issue ni Covid19? Na kwanini Mbowe hakurudishiwa ulinzi hata baada ya kurudi bungeni?
CCTV si zipo kwake? Nyumba si anakaa yeye? Sasa kwanini yeye mwenyewe asizitoe hadharani tukaona basi....#Pili; Nyumba anayoishi Mbowe ina CCTV 24hrs. Kwnn picha za CCTV zisiwekwe hadharani? Kama alianguka ataonekana na kama alivamiwa ataonekana pia. Kwanini tunapoteza muda kusigana kwenye jambo ambalo ukweli wake ni rahisi tu kupatikana?
Nyumba anayoishi akiwa Dodoma (kama KUB) ni ya serikali with CCTV system. Hata wanaoaccess "control room" ni maafisa wa serikali. Kwanini serikali isitoe hizo picha zinazoonesha Mbowe akianguka?
It's true nyumba ya KUB ina CCTV, ila Mhe. Mbowe aligoma kuitumia, hivyo ndio ile iliyokuwa ikitumiwa na Lissu!. Kitu ambacho mimi sikijui ni labda kama baada ya Lissu kufutwa ubunge, Mhe. Mbowe hatimaye alikubali kuhamia kwenye hiyo nyumba rasmi ya KUB ambayo ni ya serikali, ina CCTV, ulinzi na wafanyakazi wote wakilipwa na serikali ikiwemo gari, dereva na msaidizi.
P
Kwa lissu ilisemwa ni nyumba ya lissu au jirani yake kalemani(alipinga) kuwa ndio ina cctv?It's true nyumba ya KUB ina CCTV, ila Mhe. Mbowe aligoma kuitumia, hivyo ndio ile iliyokuwa ikitumiwa na Lissu!. Kitu ambacho mimi sikijui ni labda kama baada ya Lissu kufutwa ubunge, Mhe. Mbowe hatimaye alikubali kuhamia kwenye hiyo nyumba rasmi ya KUB ambayo ni ya serikali, ina CCTV, ulinzi na wafanyakazi wote wakilipwa na serikali ikiwemo gari, dereva na msaidizi.
P