Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.

Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na kuvunjika. Ndugai kasema madaktari wake walimjulisha kuwa Mbowe alikua amelewa chakari.

Kibajaj akasema alianguka akiwa na mwanamke na mwanamke huyo alikimbia. Waitara amemtaja mwanamke huyo kwa jina bungeni. Yani majungu majungu tu.

Kama kuna utata kuhusu kuvamiwa kwa Mbowe, utata huo unapaswa kumalizwa na mambo mawili tu.
#Mosi; Mbowe ana walinzi wa aina mbili. Wa serikali (TISS) na wa chama (Red Brigade). Serikali ilimuondolea Mbowe walinzi mwezi uliopita kwa sababu ya issue ya Covid19 walipotoka bungeni.

Lakini hata baada ya kurudi bungeni hakurudishiwa ulinzi. Hapa kuna kitu hakiko sawa. Kwanini viongozi wengine walibaki na walinzi kama issue ni Covid19? Na kwanini Mbowe hakurudishiwa ulinzi hata baada ya kurudi bungeni?

Wanaohoji kuhusu ulinzi wa Mbowe wanapaswa kuhoji mambo mawili. Kwanini serikali haikumrudishia ulinzi baada ya kurudi bungeni kisha wahoji walinzi binafsi wa Mbowe (red brigade) walikua wapi wakati anavamiwa.

#Pili; Nyumba anayoishi Mbowe ina CCTV 24hrs. Kwnn picha za CCTV zisiwekwe hadharani? Kama alianguka ataonekana na kama alivamiwa ataonekana pia. Kwanini tunapoteza muda kusigana kwenye jambo ambalo ukweli wake ni rahisi tu kupatikana?

Nyumba anayoishi akiwa Dodoma (kama KUB) ni ya serikali with CCTV system. Hata wanaoaccess "control room" ni maafisa wa serikali. Kwanini serikali isitoe hizo picha zinazoonesha Mbowe akianguka?

Kwa ninavyoijua serikali ya CCM ingekua kweli Mbowe kaanguka usiku akiwa na mwanamke na "Faru John" mkononi, nina uhakika wangeprint hizo picha na kuzisambaza kuanzia Lupiro kule Ulanga hadi Yombo Buza kwa Abiola.

Lakini ukiona serikali inakomaa kuwa Mbowe alianguka, lakini haitaki kutoa picha za CCTV, halafu serikali hiyohiyo ilimuondolea ulinzi mwezi mmoja tu uliopita, lazima uhisi kuna kitu. WaTZ wa leo sio wajinga.!
SEV ZOTE ZILIONDOLEWA KISA COVID
HIOO CCTV YAWAPI
 
CDM me nna swali, kwaiyo kwa mfano ndo mnapata DOLA kesho. RAIS wenu ndo TUNDU AMA MBOWE
 
Kwa lissu ilisemwa ni nyumba ya lissu au jirani yake kalemani(alipinga) kuwa ndio ina cctv?
It's the same house, ni ghorofa, Kalemani anaishi ground floor, Lissu 1st floor.
CCTV cameras ziliwekwa kwa ajili ya Waziri na sio KUB, ila geti ni moja.
P
 
Mbowe ameshindwa kusoma alama za nyakati asitegemee huruma za wananch kwa mtu Kama yeye anajua Yuko katika wakat lazima uwe Makin Sana hasa nyakati za usiku mbowe Ni mtu mkubwa s mtoto

Ila analeta utoto katika maisha yake hzo siasa awaachie akina mnyika na mdee yeye angebak tu kma mshaur tu katika chama
 
Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi. Kiongozi mkubwa kama yeye sio sawa kutembea usiku mkubwa akiwa yeye na mwanamke tu
Umemsahau Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu, alikuwa anatoka Bar na msafara usiku wa saa5 au ulikuwa mtoto enzi hizo
 
Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.

Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na kuvunjika. Ndugai kasema madaktari wake walimjulisha kuwa Mbowe alikua amelewa chakari.

Kibajaj akasema alianguka akiwa na mwanamke na mwanamke huyo alikimbia. Waitara amemtaja mwanamke huyo kwa jina bungeni. Yani majungu majungu tu.

Kama kuna utata kuhusu kuvamiwa kwa Mbowe, utata huo unapaswa kumalizwa na mambo mawili tu.
#Mosi; Mbowe ana walinzi wa aina mbili. Wa serikali (TISS) na wa chama (Red Brigade). Serikali ilimuondolea Mbowe walinzi mwezi uliopita kwa sababu ya issue ya Covid19 walipotoka bungeni.

Lakini hata baada ya kurudi bungeni hakurudishiwa ulinzi. Hapa kuna kitu hakiko sawa. Kwanini viongozi wengine walibaki na walinzi kama issue ni Covid19? Na kwanini Mbowe hakurudishiwa ulinzi hata baada ya kurudi bungeni?

Wanaohoji kuhusu ulinzi wa Mbowe wanapaswa kuhoji mambo mawili. Kwanini serikali haikumrudishia ulinzi baada ya kurudi bungeni kisha wahoji walinzi binafsi wa Mbowe (red brigade) walikua wapi wakati anavamiwa.

#Pili; Nyumba anayoishi Mbowe ina CCTV 24hrs. Kwnn picha za CCTV zisiwekwe hadharani? Kama alianguka ataonekana na kama alivamiwa ataonekana pia. Kwanini tunapoteza muda kusigana kwenye jambo ambalo ukweli wake ni rahisi tu kupatikana?

Nyumba anayoishi akiwa Dodoma (kama KUB) ni ya serikali with CCTV system. Hata wanaoaccess "control room" ni maafisa wa serikali. Kwanini serikali isitoe hizo picha zinazoonesha Mbowe akianguka?

Kwa ninavyoijua serikali ya CCM ingekua kweli Mbowe kaanguka usiku akiwa na mwanamke na "Faru John" mkononi, nina uhakika wangeprint hizo picha na kuzisambaza kuanzia Lupiro kule Ulanga hadi Yombo Buza kwa Abiola.

Lakini ukiona serikali inakomaa kuwa Mbowe alianguka, lakini haitaki kutoa picha za CCTV, halafu serikali hiyohiyo ilimuondolea ulinzi mwezi mmoja tu uliopita, lazima uhisi kuna kitu. WaTZ wa leo sio wajinga.!
Wabunge wa siku hizi wanahitaji sala hawaaminiki kabisa maana waliwahi sema tena kwa nguvu na ansadi za bunge ni shahidi kuwa Lisu alipigwa risasi na CDM (Naibu waziri wa Afya kwa sasa) wakasema hawajui wala hawakuwahi kusikia alipo wakati walimsindikiza wenyewe (Ndugai). Wanakuwa na ushabiki uliopitiliza hadi kuvuja heshima na utu wa mtu so long as hauko upande wao lengo likiwa kuaminisha umma kwa jinsi ya muonekano wanautaka bila kuja na tangible evidences. Wamefika hatua ya kuspecialize wabunge wa kutekelza hayo. Labda shule inaweza kuchangia sana katika hili. Nina uhakika siyo mambo ya msingi tuliyo watuma huko.

Politics is real dirty game for almost illiterate oriented members.

Kwa leo ni hayo karibuni lunch hapa Dodoma karibu na Chako ni Chako.
 
Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.

Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na kuvunjika. Ndugai kasema madaktari wake walimjulisha kuwa Mbowe alikua amelewa chakari.

Kibajaj akasema alianguka akiwa na mwanamke na mwanamke huyo alikimbia. Waitara amemtaja mwanamke huyo kwa jina bungeni. Yani majungu majungu tu.

Kama kuna utata kuhusu kuvamiwa kwa Mbowe, utata huo unapaswa kumalizwa na mambo mawili tu.
#Mosi; Mbowe ana walinzi wa aina mbili. Wa serikali (TISS) na wa chama (Red Brigade). Serikali ilimuondolea Mbowe walinzi mwezi uliopita kwa sababu ya issue ya Covid19 walipotoka bungeni.

Lakini hata baada ya kurudi bungeni hakurudishiwa ulinzi. Hapa kuna kitu hakiko sawa. Kwanini viongozi wengine walibaki na walinzi kama issue ni Covid19? Na kwanini Mbowe hakurudishiwa ulinzi hata baada ya kurudi bungeni?

Wanaohoji kuhusu ulinzi wa Mbowe wanapaswa kuhoji mambo mawili. Kwanini serikali haikumrudishia ulinzi baada ya kurudi bungeni kisha wahoji walinzi binafsi wa Mbowe (red brigade) walikua wapi wakati anavamiwa.

#Pili; Nyumba anayoishi Mbowe ina CCTV 24hrs. Kwnn picha za CCTV zisiwekwe hadharani? Kama alianguka ataonekana na kama alivamiwa ataonekana pia. Kwanini tunapoteza muda kusigana kwenye jambo ambalo ukweli wake ni rahisi tu kupatikana?

Nyumba anayoishi akiwa Dodoma (kama KUB) ni ya serikali with CCTV system. Hata wanaoaccess "control room" ni maafisa wa serikali. Kwanini serikali isitoe hizo picha zinazoonesha Mbowe akianguka?

Kwa ninavyoijua serikali ya CCM ingekua kweli Mbowe kaanguka usiku akiwa na mwanamke na "Faru John" mkononi, nina uhakika wangeprint hizo picha na kuzisambaza kuanzia Lupiro kule Ulanga hadi Yombo Buza kwa Abiola.

Lakini ukiona serikali inakomaa kuwa Mbowe alianguka, lakini haitaki kutoa picha za CCTV, halafu serikali hiyohiyo ilimuondolea ulinzi mwezi mmoja tu uliopita, lazima uhisi kuna kitu. WaTZ wa leo sio wajinga.!

NI MPANGO WA MUNGU
Mungu anatupenda sana waTz, kwa kutuwezesha kupita ili kuyaona haya.
Sasa hivi kuna mashindano ya waliyo jaa ushetani, kujifunua.
Kwa tuliyojaliwa kuwapo na kuziona awamu zote, tumeshuhudia mporomoko (exponential decay) wa uwezo na mifumo kwa karibu kilanyanja/kitu.

1591868664966.png

Awamu hii ikiwa imevunja record kwa
-uhayawani katika matamko na matendo kwa ngazi zote za walioko madarakani,
-matukio ya kujikomba/kujipendekeza yanayotia kinyaa kwa wasomi
-vituko vya ubabe na kusigina katiba/sheria mpaka ndani ya bunge huku wakishangiliwa
-mporomoko wa maadili na uwezo wa wabunge pamoja spika kuisimamia serikali

Uchaguzi huu ni fursa.
Tunazo sababu za kutosha kuwatupa wote waliyojaa ushetani na kuanza na wapya wenye maadili mema, nidhamu ya kweli na uoga/aibu wa kutenda na kujivunia maovu.
Eeh Mungu wa kweli, Mungu mwenye REHEMA, twaomba utuongoze na utupe nguvu ya kuukataa ushetani huu.
Amen
 
Umejenga hoja vizuri swali ni kwamba walinzi wake binafsi walikuwa wapi?
Na kiongozi mkubwa unatembea vipi pekee yako usiku?
 
Hapo nimeuma wapi na nimepuliza wapi?.
Hapo kila nilichosema ni facts. KUB ana hadhi sawa na PM, hivyo anapewa nyumba, gari, dereva, wasaidizi, ofisi, wahudumu wa ofisi na msaidizi.
P
Mtu mwenye hadhi sawa na PM anaweza kudhalilishwa na Speaker hadharani namna ile ?
 
It's the same house, ni ghorofa, Kalemani anaishi ground floor, Lissu 1st floor.
CCTV cameras ziliwekwa kwa ajili ya Waziri na sio KUB, ila geti ni moja.
P
Baada ya lissu kushambuliwa Kalemani alipinga kuwa nyumba anayoishi haina cctv kama lissu alivyosema,au zilifungwa baada ya lissu kuhama/kuhamishwa?
 
Siku Lissu anashambuliwa nyumba hiyo ilikuwa na CCTV na zilikuwa zinafanya kazi, baada ya shambulio ziliondolewa!. Kalemani was right kupinga kwasababu hizo CCTV cameras hakuziweka yeye!.
P
 
Back
Top Bottom