Nyumba ya Maajabu Masaki!

Aisee
 
Kalpana Antonnia

hii imeisha hivi..
 
kwaiyo mzimu wa Deborah ukawa unaDeal na kuwaua paka na mbwa tu, mbona haujawaenyesha wauaji badala yake imeanza kuwadondosha watu wasiohusika nayey kwenye sakafu, kuonesha watu chatu, vitisho kwa watu ambao sio walengwa.

na vp familia ya mkenya ilirudi au ilipotea mazima kimiujiza.
 
Doh! Watu wanajua kutengeneza na kusimulia visa!
 
Angekuwa ni mchina ndo kapanga hiyo nyumba, huyo nyoka asinge pona. Angekuwa supu ya usiku.
 
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…