Nyumba ya Maajabu Masaki!

Nyumba ya Maajabu Masaki!

........Mbwa walibweka bila matumaini. Aliyekuwa ndani alianza na TV alipokuwa anaibeba ili aitoe nje aliteleza nayo na kuangukia kichwa umauti ukamfika hapo hapo na damu zikichuruzika, yule aliyekuwa nje kwasababu alisikia kishindo ikabidi aende kuchungulia akamkuta mwenzie chalii na damu zimetapakaa. Hivo akaona huu ushakuwa mkosi na kilichobaki ni kusepa. Kwaio walipokuwa ndani walivunja mlango kwa ndani na geti pia dogo walivunja komeo. Walipakiana kwenye pikipiki na kuanza mwendo ila hawakufika mbali hata mbali kutokana na mwendo kasi na wenge walivaana uso kwa uso na land cruiser........

IKIWA KAMA WOTE WALIFARIKI JE IYO TAARIFA YA IYO SCENE YAO IMETOLEWA NA NANI AU SITTING ROOM ILIKUWA NA CCTV
Mkuu kimsingi hii chai elewa utakavyoelewa, shushia na chapati zako baaasi...

Ukilazimisha ieleweke utapata homa mkuu, kuna dosari nyingi sana sana yaani sanaaaa...
 
Kuwa serious basi, risasi zipigwe ushuani polisi wasifike?
Huyu mwamba hapajui Masaki anaamini watu wapo bize kiasi hicho 😂😂 itakuwa anaishi kwa stori za kijiweni tumvumilie tu Mkuu.
 
Mhariri Mkuu wa hadithi nimefika. kwanza waombe radhi walaji. wengi wamenitafuta wakitaka niseme neno. nimeisoma hadithi. mtungaji si lazima useme ni kweli yametokea. pia uongo ni mwingi yaani nashindwa hata nianzie wapi. wadau wameomba kuwa ujitahidi basi uwaheshimu usiwaone wao mafala sana. maana wanaona kama unawadhalilisha sana unawachukulia wao kama watoto.
 
Back
Top Bottom