Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema based on true story au wewe unaelewaje hapo?Acheni ujuaji,hii ni hadithi kama hadithi zingine
Hongera sana! Sehemu nyingi zahivo kuna mauzauza sana!Mkuu mbona mi npo sekta Hio mwaka wa 6 huu ila sina hayo mambo
Hahahaaa! 😂😂😂 Based on true story...kwa ile spidi aliyotokanayo hakulifikia geti aliteleza akajigonga kwenye kingo ya ukuta zile zimezunguka ukoka!
Vunja beiMtumishi vunja vunja
STORY YA UONGO SANA. HIZO MIL 300 ALIZOGAWANA NAO ALIZITOA WAPI? YAANI UME FAIL SANA KUITUNGA ULIKUWA UNAIBUA TU MATUKIO RANDOMLY AMBAYO ULISHINDWA KUYAENDELEZA. HUKUTULIA KATIKA KUTUNGA NA HUKUTEGEMEA WATU TUNGEKUSHTUKIA.Hello brothers and sisters 👋
Tuendelee baada ya mkenya kuanguka na kujigonga kwenye kingo za ukuta alizimia kwa muda kidogo na alipokuja kuzinduka alijikuta yupo hospital na amezengukwa na watu yofauti tofauti.
Wote walitaka kujua nini hasa kimemsibu ambapo alieleza huo mkasa ikiwa ni pamoja na polisi kuchukua maelezo yao. Ili bidi afande muba ambaye alikabidhiwa asimamie kesi ya upotevu wa Deborah na mume aondolewa na kupewa afande stella ambaye moja kwa moja aliingia saiti na kuanza upelelezi wake.
Upelelezi wa afande huyo ulimpeleka kwa kishapu shinyanga kwaajili ya kuchunguza, ndipo alipofanikiwa kupata dots kuwa lazima ndugu wa mume wanasiri na hio nyumba. Katika upelelezi wake huo alikumbana na vikwazo vingi ikiwa ni pamoja na vitisho kutoka kwa wakubwa zake pamoja na mauza uza ya hapa na pale. Ila hakukata tamaa alipambana ili aupate ukweli, ndipo wifi yake na Deborah alipobanwa sana kwa maswali ya kimitego alikiri kuwa kaka mkubwa anahusika na njama zote hizo.
Safari ya kumtoa kishapu kaka mkubwa ilianza akiwa chini ya uangalizi mkali sana wa polisi ambapo alifikishwa dar na kuchukuliwa maelezo, ikiwa ni pamoja na kubanwa sana kwa mbinu za kipolisi ili atoe ukweli wote. Baada ya kubanwa sana na mateso ya hapa na pale alikiri na kueleza mpango mzima namna ulivyosukwa ikiwa ni pamoja na kushirikiana na baadhi ya askari ambao hawakuwa waaminifu katika kutekeleza shambulio hilo ili wapate hizo mali.
Askari waliotajwa wengi walikuwa wamehamishiwa vituo tofauti tofauti na kwa mujibu wa kaka mkubwa ni kuwa tukio lingefanywa siku ambayo hao askari watakuwa wako lindoni hivyo kwa chochote ambacho kingetokea basi hao askari walikuwa wamejipanga kuweka cover ikiwa ni pamoja na kusema walirushiana risasi na wezi n.k Na kwa mujibu wa hayo mahojiano alikiri kuwapa askari hao mgao upatao milioni 300 kwani walikuwa 6 katika doria ya siku hiyo. Pia aliekuwa mpelelezi wa hiyo kesi kabla ya kuondolewa alikabidhiwa kitita cha shs milioni 200 ili kuuzima moto wa hiyo kesi. Marehemu mume wa Deborah aliacha benki shs bilioni 1.5 alikuwa na nyumba hapo masaki na pia nyumba 1 moja maeneo ya capri point mwanza. Pia alikuwa na hotel moja hapo shinyanga.
Yote alieleza ikiwa ni pamoja na kuonyesha sehemu tukio lilipofanyika namna walivyousuka huo mpango na wahusika wote. Kesi ilenda mahakamani na ilikuwa ni gumzo kubwa sana katika jiji zima, iliunguruma kwa muda wa mwaka mzima na miezi minne kabla ya hukumu kutoka huku wengi wao akiwemo kaka mkubwa wakila mvua za miaka 30 mpaka 60 na wengine mvua za miaka 5 mpaka 10.
Mahakama pia iliamua zile mali zote za marehemu ziende kwa upande wa mwanamke yaani Deborah's family kwa kile mahakama ilichotafsiri kuwa hawakuwa na hatia ya kushiriki kuutoa uhai wa hao wapendanao.
Nyumba hiyo ilifanyiwa maombi sana kabla ya kuja kuuzwa kwa mfanyabiashara mmoja wa sheli za mafuta! Kwa kiasi ambacho hakikuwekwa wazi. Kwa sasa vitimbwi kwenye hio nyumba havipo tena na hali ni shwari kwani roho ya Deborah ilipumzika kwa amani baada ya kutendewa haki.
*Hi ni simulizi iliyotokea huko nchini Congo miaka ya nyuma kidogo haswa kwa kuwa ni kipindi hicho kulikuwa na mauaji sana ya wafanyabiashara wa madini!
END OF STORY
Kwa hiyo Familia ya Mkenya ilienda wapi?Hello brothers and sisters [emoji112]