Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

Kwani wakimboa hawata mpa hiyo fidia .umeileta kishabiki kama vile kakupigia demu wako
Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.

Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.

Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa huwaona wale wa SACCOSS wakimteteta,ila angekuwa mbunge wao ungesikia kelele ,oh kaonewa oh kaonewa,lakini kwa kuwa Msukuma ni wa CCM hapo roho kwatu na zile nadharia zao hatutaziona.
 
Na bado anaendelea kuimba sifa kwa magu?
 
Hapa huwaona wale wa SACCOSS wakimteteta,ila angekuwa mbunge wao ungesikia kelele ,oh kaonewa oh kaonewa,lakini kwa kuwa Msukuma ni wa CCM hapo roho kwatu na zile nadharia zao hatutaziona.
Ni mjinga tu anaweza kulia zaidi ya mfiwa.
 
Hapa huwaona wale wa SACCOSS wakimteteta,ila angekuwa mbunge wao ungesikia kelele ,oh kaonewa oh kaonewa,lakini kwa kuwa Msukuma ni wa CCM hapo roho kwatu na zile nadharia zao hatutaziona.
Wabunge wa vyama makini hawajengi barabarani. Hivyo wanatetewa kwa vile wako kwenye haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa huwaona wale wa SACCOSS wakimteteta,ila angekuwa mbunge wao ungesikia kelele ,oh kaonewa oh kaonewa,lakini kwa kuwa Msukuma ni wa CCM hapo roho kwatu na zile nadharia zao hatutaziona.
Tulia dawa ikuingie.
 
Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.

Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.

Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hata hivyo alipendelewa sana kwani nyumba haikuwa na thamani hiyo kama zilivyoonekana kwenye TV na alijenga kwenye eneo la barabara.
Hata sasa tuone awasukume mahakamani wabomoaji.
 
Mbona mzee alisema wasibomolewe kwa sababu walimpigia kura,imekuwaje tena wakabomolewa
 
Back
Top Bottom