Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

Harusi ya Peter na Roda Kahama ilifanyikia hapo enzi za Mzee Ruksa
Hapana, harusi ilifanyikia kwenye lile kasri lao la Masaki, Mzee Mengi ndie alikuwa M/kiti wa kamati ya maandalizi. Nilihudhuria harusi hii all the way from US, and to me, hii ndio ilikuwa harusi kubwa ya kwanza ya aina yake Bongo enzi za Mzee Rhuksa!.
P.
 
Pale sea view karibu na hotel ya protea ,gorofa linalotazamana na ofisi ya mkurabita , Ni ya ukoo wa rupia pia
 
Kale kabinti nakakumbuka kalikua cashier BOT.
Enzi zile makusanyo tulikua tunayapeleka BOT moja kwa moja.
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi
 
Hiyo ni just one of prime properties the family has!.
P
Dawa ya deni ni kulipa

Huko nyumba ya mkono ilipigwa mnada...

Nyumba ya mahiga nayo ilipigwa mnada

Tukirudi kwenye Mali za wakina rupia,sawa wana Mali ongezea na eneo la wazo wanapochimba kokoto
Je nje ya properties wana biashara gani ambayo mpaka sasa ipo???

Je wana kiwanda nk ..?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…