COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Ni kweli mkuu yaani hawaoni hata aibu kumdhalilisha mwenye jina lake Dah! aibu kwakweliUkijibiwa uni tag
Hizi familia zetu akishaondoka mzee
Watoto wao ni kula tu hawazalishi
Mwishowe wao ni kuuza Mali, wanatumia
Ova
Kuna Jenny piaBabao alikuwa na watoto wangapi ukiondoa John Rupia?
Sio lazima lugha na sauti za ninaomba zisikikeKwani wameomba kulipiwa deni?
[emoji106][emoji106]
Kama mkopo ulichukuliwa na kampuni yao hapo hakuna kupona, ila kama mkopo ulikopwa na mzee rupia kama individual person, hapo bima inawajibika kulipa life insurance ku offset deni!Mkuu peno hasegawa, asante kwa taarifa hii.
Nyumba yoyote inapopigwa mnada maana yake ni imetumika kama collateral for loan.
Kama nyumba hiyo ni matrimonial home, haikubaliki as a collateral mpaka both spouses wasaini.
Mke kama ulisaini nyumba itumike as collateral, mume akachukulia mkopo, baadae mume akafa bila kuulipa huo mkopo, kifo cha mume hakifuti lile deni la ule mkopo, hivyo mkopo lazima ulipwe!. Ukishindwa kulipa, ujane sio an excuse kuizuia bank to recover its debts.
Huu ni mfano mzuri wa kuwafundisha Watanzania kuweka bima, kuna mpaka bima za mikopo, ukifa kabla hujamaliza kulipa mkopo, bima ina take over na kukulipia!.
Rupia ni among the top ten giant families zenye lots of properties jijini Dar es Salaam!. Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru Roundabout ni ya baba yao Mzee John Rupia, ambapo wakati wa utaifishaji hayo hayakuguswa!.
Hivyo hilo la hii nyumba ni dogo tuu!.
Pole Mama Anna, hili ni dogo tuu kama upepo na litapita tuu!.
P
Hakuna mtu amemzodoa mtu yoyote, hiyo single property inayouzwa ni kama tone tuu la maji kwenye properties za Rupia Family, Balozi Rupia aliishi hapo for a reason one of them being convenience but not as a needy kwasababu the proper Balozi Rupia home ni kasri lao la Masaki.Kama mkopo ulichukuliwa na kampuni yao hapo hakuna kupona, ila kama mkopo ulikopwa na mzee rupia kama individual person, hapo bima inawajibika kulipa life insurance ku offset deni!
Pili msimzodoe msaidieni kimawazo kusolve hili jambo
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Mzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .Babao alikuwa na watoto wangapi ukiondoa John Rupia?
Akili zinatengenezwa na mazingira anayoishi binadamu! Akiishi kwa kufikiria anasa Akili zitakuwa ni za anasa anasa tu !! “ as you think so shall you become “Kuna familia zungine hata kutaja majina nashindwa ila sahv wana struggle....
Wengi vichwani hakuna kitu
Ova
Kama powerful family inapitia haya je sisi kina kajamba nani? Mkuu King bora kukomaa tu na mkaa huko minjingu.
Mzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .
P
Not true, kwenye msiba wa Balozi Rupia, hakuna mtu aliyeandika eulogy nzuri ya Balozi Paul Rupia kama Mkuu Maalim Mohamed Said!, kaisome hapa Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam TumefiwaJohn Rupia ni Mkristo kwahiyo Mzee Mohamed Said atakwambia hamjui kwasababu hana mchango wowote kwenye kupigania uhuru....Mambo ya kufadhili TANU pia lazima apinge.
Haya mambo yashakuwa historiaMzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .
P
First class family nyingi chaliKabisa First class family wanapigwa mweleka,sisi low end class inabidi tukomae tu ukijimwambafy na mkopo BANK watakuja kupiga mnada hadi familia.
Nimekupata Paskali ,nimeona tu kwamba wana undugu naye na kuifadhili TANU....ila kwenye kupigania uhuru sijaona labda anaweza kutuambia kama alikuwa na mchango kwenye kupiania uhuru.Not true, kwenye msiba wa Balozi Rupia, hakuna mtu aliyeandika eulogy nzuri ya Balozi Paul Rupia kama Mkuu Maalim Mohamed Said!, kaisome hapa Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam Tumefiwa
P
Familia chache sana zinaendeleza mali, nyingi hugawana maliKila siku tunafundishwa na wenzetu wahindi,waarabu,wazungu kuhusu generation wealth
Ova
Most 1st class families, wame invest kwenye real estate, shares, bonds na stocks, hivyo mzigo upo wa kutosha tuu, ndio maana watu tuko surprised what's happening hadi hii property iuzwe kwa mnada!. Hata ingekuwa inadaiwa, ni Mjane anapiga tuu hodi kwa The King Maker, mzigo unawekwa mezani!. I do suspect this is a deal!.Haya mambo yashakuwa historia
Labda wawe na vi properties....
Cash ndiyo ina matter we mzeeeee
Cash ipooo au ndiyo mpaka muuze mijengo mpate cash
Ova
Bima wanajiazia tu kulipa ama nilazima uwe ulifanikisha mchakato nawao piaMzee hausiki, maana ukifa , kuna bima inakulipia na kuna makato ya bima kila mwezi.
Kwa hiyo hao watoto wanao kula for the rest of life wao hawatakuwa wazaz? Ikiwa wao hawawekez watoto wao watakula nn?Hata kichwani ukiwa zero brain, kama baba amefanya the right investment kwenye properties, shares, stocks and bonds, watoto wanakula tuu dividends na kuishi maisha mazuri for the rest of their lives.
Hata hiyo nyumba inayouzwa, inauzwa tuu kwasababu something went wrong somewhere, it was earmarked for a huge investment kwasababu nyumba za kuishi wanazo plenty tena prime areas lakini Balozi alikubali kuishi hapo kwenye a humble house for a reason!, nalijua jumba lao la masaki, ni usipime!.
P