Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

308750308_1265103534237022_2390742274289806053_n.jpg
[emoji106][emoji106]
 
Mkuu peno hasegawa, asante kwa taarifa hii.

Nyumba yoyote inapopigwa mnada maana yake ni imetumika kama collateral for loan.

Kama nyumba hiyo ni matrimonial home, haikubaliki as a collateral mpaka both spouses wasaini.

Mke kama ulisaini nyumba itumike as collateral, mume akachukulia mkopo, baadae mume akafa bila kuulipa huo mkopo, kifo cha mume hakifuti lile deni la ule mkopo, hivyo mkopo lazima ulipwe!. Ukishindwa kulipa, ujane sio an excuse kuizuia bank to recover its debts.

Huu ni mfano mzuri wa kuwafundisha Watanzania kuweka bima, kuna mpaka bima za mikopo, ukifa kabla hujamaliza kulipa mkopo, bima ina take over na kukulipia!.

Rupia ni among the top ten giant families zenye lots of properties jijini Dar es Salaam!. Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru Roundabout ni ya baba yao Mzee John Rupia, ambapo wakati wa utaifishaji hayo hayakuguswa!.

Hivyo hilo la hii nyumba ni dogo tuu!.
Pole Mama Anna, hili ni dogo tuu kama upepo na litapita tuu!.
P
Kama mkopo ulichukuliwa na kampuni yao hapo hakuna kupona, ila kama mkopo ulikopwa na mzee rupia kama individual person, hapo bima inawajibika kulipa life insurance ku offset deni!
Pili msimzodoe msaidieni kimawazo kusolve hili jambo

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu amemzodoa mtu yoyote, hiyo single property inayouzwa ni kama tone tuu la maji kwenye properties za Rupia Family, Balozi Rupia aliishi hapo for a reason one of them being convenience but not as a needy kwasababu the proper Balozi Rupia home ni kasri lao la Masaki.

Mwandishi habari ameiripoti ili kupata compassion kuwa mjane wa Balozi Rupia is made homeless ili Samia aingie huruma na serikali iingilie kati kuusimamisha mnada huo kwa kuonyeshea nyumba inayouzwa kwa mnada huku mjane yuko ndani kitu ambacho sii kweli.

Masikini mwandishi husika hakujua kuwa hiyo sales and marketing strategy ya kui ostentatisha hiyo property kugeuka an article of ostentation, hivyo to fetch a very high price kwenye mnada, kama inavyokuwa ile minada ya works of arts kama picha ya Mona Lisa au Madonna zilizochorwa na Leonardo da Vinci zilivyo uzwa ghali!. Tricks hii pia ilitumika kwenye mnada wa mahekalu ya Lugumi, yaliyo muibua Dr. Shika (RIP), mnada huo ulipaisha bei ili zishindwe kuuzika mwisho wa siku ni Bilionea Lugumi amerejeshewa nyumba zake na maisha yanaendelea .

Hivyo hapo hiyo nyumba itanunuliwa na bilionea mmoja na kisha mjane kurejeshewa nyumba yake!.
P
 
Babao alikuwa na watoto wangapi ukiondoa John Rupia?
Mzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .
P
 
Kuna familia zungine hata kutaja majina nashindwa ila sahv wana struggle....
Wengi vichwani hakuna kitu

Ova
Akili zinatengenezwa na mazingira anayoishi binadamu! Akiishi kwa kufikiria anasa Akili zitakuwa ni za anasa anasa tu !! “ as you think so shall you become “
 
Mzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .
P

John Rupia ni Mkristo kwahiyo Mzee Mohamed Said atakwambia hamjui kwasababu hana mchango wowote kwenye kupigania uhuru....Mambo ya kufadhili TANU pia lazima apinge.
 
Mzee John Rupia ndio Baba yao na ndie alikuwa mfadhili Mkuu wa chama cha TANU pamoja na matajiri wengine wa enzi hizo, akina Skykes:, Dasssa Aziz na wengine. Mimi nawafahamu Kaka wawili Balozi Paul Rupia aliyeachiwa jengo moja pale Uhuru Roundabout na mdogo wake Alban Rupia aliyeachiwa jengo jingine hapo hapo Uhuru Roundabout, na jengo la tatu pia ni lao. Member anayewafahamu vizuri hawa watu ni Mzee wetu humu, Mkuu Maalim Mohamed Said .
P
Haya mambo yashakuwa historia

Labda wawe na vi properties....

Cash ndiyo ina matter we mzeeeee

Cash ipooo au ndiyo mpaka muuze mijengo mpate cash

Ova
 
Kabisa First class family wanapigwa mweleka,sisi low end class inabidi tukomae tu ukijimwambafy na mkopo BANK watakuja kupiga mnada hadi familia.
First class family nyingi chali

Hata zile familia za wazito wa zamani

Chali

Huyu mayala anabakia kusema wana properties properties ,je mzigooo upo

Ova
 
Haya mambo yashakuwa historia

Labda wawe na vi properties....

Cash ndiyo ina matter we mzeeeee

Cash ipooo au ndiyo mpaka muuze mijengo mpate cash

Ova
Most 1st class families, wame invest kwenye real estate, shares, bonds na stocks, hivyo mzigo upo wa kutosha tuu, ndio maana watu tuko surprised what's happening hadi hii property iuzwe kwa mnada!. Hata ingekuwa inadaiwa, ni Mjane anapiga tuu hodi kwa The King Maker, mzigo unawekwa mezani!. I do suspect this is a deal!.

Kwenye big business world sometimes one has to cut your coat to spite your face!. Jicho likikuponza, unaliondoa na kubaki na jicho moja ili kuuokoa mwili, kuliko kuupoteza mwili wote mzima mzima mazima!
I smell something fishy about this!. Kwa watu tunaomjua Balozi Rupia, ana bonge la jumba la kufa mtu Masaki, kwanini aliendelea kuishi hapo kwenye hicho kijumba?, it must be ni for a reason!. Ila pia there must be something unusual kuhusu hiyo nyumba, kwasababu the location ni prime, ukubwa wa plot ni low density, angalia nyumba nyingine around halafu linganisha!. That was an investment potential tena a huge investment!, why it was never developed?!. Hapo kuna something behind sio bure!. Isije ikawa ni ... house!, hiyo ... naomba nisiiseme maana nyumba iko sokoni mnadani, kuna siri zikitoka tuu!, haizuki!, hivyo tusiharibu biashara za watu!.

P
 
Hata kichwani ukiwa zero brain, kama baba amefanya the right investment kwenye properties, shares, stocks and bonds, watoto wanakula tuu dividends na kuishi maisha mazuri for the rest of their lives.

Hata hiyo nyumba inayouzwa, inauzwa tuu kwasababu something went wrong somewhere, it was earmarked for a huge investment kwasababu nyumba za kuishi wanazo plenty tena prime areas lakini Balozi alikubali kuishi hapo kwenye a humble house for a reason!, nalijua jumba lao la masaki, ni usipime!.
P
Kwa hiyo hao watoto wanao kula for the rest of life wao hawatakuwa wazaz? Ikiwa wao hawawekez watoto wao watakula nn?
 
Back
Top Bottom