Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu balozi ameshafariki nadhani mwaka janaSasa nani alimwambia akakope kwa kutumia hiyo nyumba na pesa za mkopo kapeleka wapi? Tuanze hapo kwanza
Watu wafanye makosa halafu waanze kutafuta huruma
Apambane hana watoto, hana ndugu pesa alikula na nani?
Kuwa na heshima kidogo kwa chama dume. Tutajitoa kwenye maridhiano mkose mikopo ya kulipa mishahara ya watumishi mwezi January. Ohoo, we haya we!Hiyo ya Ufipa st hamjakopea?
Biz nyingi hapa bongo zinakuzwa na pesa za rushwa, wizi na udokozi kwenye ofisi za umma. Ndiyo maana wengi wakitumbuliwa unashangaa na biz zao zinakufa.Huyu balozi ameshafariki nadhani mwaka jana
Angekuwepo yeye labda haya yasingetokea maana biz kama haupo kila mtu anafanya anavyojua
Sijajua scenario ya huyo mama na familia yake ila ishatokea kwa jirani yangu.
Situation nyingi huwa zinakuja hivi::-
Mume anaenda kukopa bank kwa kufoji spouse consent ya mkewe so mke anakua hajui kama mume kakopa bank. Na wanaume wengi hawapendi kushirikisha wake zao mambo mengi. So inakuja kutokea siku mume amefariki ndo mambo yanaibuka. Bank inakuja kudai mnaambiwa mnadaiwa milioni 20 mume alikopa na thamani ya nyumba ni milioni 200 lets say. We huo mda hiyo hela huna ndo unakuja kuishia kufukuzwa na nyumba inauzwa na bank. Uzuri tunawashukuru wababa kwa utemi wenu haya mambo yanatokea sana tu.
Zinazokuja kuteseka ni familia mnazoziacha nyuma. Bora hata mngekua mnawaandaa mapema kwamba jamani nimeacha deni muanze kujitafuta pengine pa kukaa watakufanya nini kwani na we ndo baba?
Na wengi wao huwa hawataki wake zao wajishughulishe na chochote so yanakuja kuwakuta mke hana pa kuanzia.
Kwa hiyo scenario kama mzee alikopa bila mke kujua wana pa kutokea ila kama mke ndo anahusika kazi iendelee haya maisha haya🙌🏼
Atakuwa anazo nyingine thamani ya nyumba na mkopo aliochukua hata ikiuzwa anaona sawa tuNyumba oysterbay unakopea bank
Sijajua scenario ya huyo mama na familia yake ila ishatokea kwa jirani yangu.
Situation nyingi huwa zinakuja hivi::-
Mume anaenda kukopa bank kwa kufoji spouse consent ya mkewe so mke anakua hajui kama mume kakopa bank. Na wanaume wengi hawapendi kushirikisha wake zao mambo mengi. So inakuja kutokea siku mume amefariki ndo mambo yanaibuka. Bank inakuja kudai mnaambiwa mnadaiwa milioni 20 mume alikopa na thamani ya nyumba ni milioni 200 lets say. We huo mda hiyo hela huna ndo unakuja kuishia kufukuzwa na nyumba inauzwa na bank. Uzuri tunawashukuru wababa kwa utemi wenu haya mambo yanatokea sana tu.
Zinazokuja kuteseka ni familia mnazoziacha nyuma. Bora hata mngekua mnawaandaa mapema kwamba jamani nimeacha deni muanze kujitafuta pengine pa kukaa watakufanya nini kwani na we ndo baba?
Na wengi wao huwa hawataki wake zao wajishughulishe na chochote so yanakuja kuwakuta mke hana pa kuanzia.
Kwa hiyo scenario kama mzee alikopa bila mke kujua wana pa kutokea ila kama mke ndo anahusika kazi iendelee haya maisha haya🙌🏼
Anhaa sasa Kwa mfano mkopaji alikopa bila consent ya mke, kesi ikawa iko mahakamani kuhusu kuzuia nyumba kupigwa mnada kwa ground kwamba mke hakuhusishwa, bima bado ita cover ikiwa mkopaji amekufa na kesi haijaisha? (Hili swali ni nje ya issue husika maana siijui case yao)Mkopaji anapofariki deni lake linalipwa na bima ya mkopo huo ndio utaratibu wa Mikopo ya benk zote zama hizi.
Sio jukumu la wanaobaki kumlipia deni marehemu
Umenena vyema mkuu mayallaMkuu peno hasegawa, asante kwa taarifa hii.
Nyumba yoyote inapopigwa mnada maana yake ni imetumika kama collateral for loan.
Kama nyumba hiyo ni matrimonial home, haikubaliki as a collateral mpaka both spouses wasaini.
Mke kama ulisaini nyumba itumike as collateral, mume akachukulia mkopo, baadae mume akafa bila kuulipa huo mkopo, kifo cha mume hakifuti lile deni la ule mkopo, hivyo mkopo lazima ulipwe!. Ukishindwa kulipa, ujane sio an excuse kuizuia bank to recover its debts.
Huu ni mfano mzuri wa kuwafundisha Watanzania kuweka bima, kuna mpaka bima za mikopo, ukifa kabla hujamaliza kulipa mkopo, bima ina take over na kukulipia!.
Rupia ni among the top ten giant families zenye lots of properties jijini Dar es Salaam!. Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru Roundabout ni ya baba yao Mzee John Rupia, ambapo wakati wa utaifishaji hayo hayakuguswa!.
Hivyo hilo la hii nyumba ni dogo tuu!.
Pole Mama Anna, hili ni dogo tuu kama upepo na litapita tuu!.
P
Na siku mali za Godbless Lema zikipigwa mnada uje na maneno haya.Den aliliacha marehemu au mjane ndio mwenye den ??
Cku zote DAWA ya DENI ni kulipaa hakuna bank Itakayopendaa kujiendesha kihasaraaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano muda wa mkopo ulishapita ikiwa hivyo bima hawawezi kuulipa maana mkataba baina yao ulishakwisha.Mzee hausiki, maana ukifa , kuna bima inakulipia na kuna makato ya bima kila mwezi.
Mkuu peno hasegawa, asante kwa taarifa hii.
Nyumba yoyote inapopigwa mnada maana yake ni imetumika kama collateral for loan.
Kama nyumba hiyo ni matrimonial home, haikubaliki as a collateral mpaka both spouses wasaini.
Mke kama ulisaini nyumba itumike as collateral, mume akachukulia mkopo, baadae mume akafa bila kuulipa huo mkopo, kifo cha mume hakifuti lile deni la ule mkopo, hivyo mkopo lazima ulipwe!. Ukishindwa kulipa, ujane sio an excuse kuizuia bank to recover its debts.
Huu ni mfano mzuri wa kuwafundisha Watanzania kuweka bima, kuna mpaka bima za mikopo, ukifa kabla hujamaliza kulipa mkopo, bima ina take over na kukulipia!.
Rupia ni among the top ten giant families zenye lots of properties jijini Dar es Salaam!. Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru Roundabout ni ya baba yao Mzee John Rupia, ambapo wakati wa utaifishaji hayo hayakuguswa!.
Hivyo hilo la hii nyumba ni dogo tuu!.
Pole Mama Anna, hili ni dogo tuu kama upepo na litapita tuu!.
P
Top 10 giant blhblh...Mkuu peno hasegawa, asante kwa taarifa hii.

Wanapelekaga kwenye matumiziSasa nani alimwambia akakope kwa kutumia hiyo nyumba na pesa za mkopo kapeleka wapi? Tuanze hapo kwanza