Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?
Ukiangalia taarifa zake mtandaoni wanasema alikimbia kwenda London mwaka 1967 na mke na watoto wake wawiliOscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Hata sijui alimkorofisha nini yule mzee wa Butiama?Kuna gazeti kule jamii photos wameandika "OSCAR KAMBONA MALAYA" Miaka hiyo .....nilichojifunza in life NO PERMANENT FRIEND NO PERMANENT ENEMY
TakbiiirMwenyew nashangaa ni feza nursery ipo karibu na ubalozi wa oman.
Kambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana.Hata sijui alimkorofisha nini yule mzee wa Butiama?
Mtandaoni wakati mwingine muandishi anaweka yale anayoyajua tu. Je huko mtandaoni kuna taarifa kuwa watoto wake walirudi Tanzania au la? Kuna taarifa wako wapi kwa sasa?Ukiangalia taarifa zake mtandaoni wanasema alikimbia kwenda London mwaka 1967 na mke na watoto wake wawili
Hayo yote aliyasema Nyerere, vipi upande wa Kambona kuna aliyemsikiliza?Kambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana
Wakati Nyerere aliamini katika Ujamaa, hakuwa na tamaa ya pesa na mpaka anastaafu hakuwa na hekalu alilojimilisha.
Ndo nini sasaTakbiiir
Maisha ya baba sio maisha ya mwanaOscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analiowa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Lakini Kambona kaonekana ndie aliyekuwa sahihi kuliko Mwalimu. Yafanyikayo sasa ni mawazo ya Kambona ya Nyerere yalishakufa kibuduKambona aliamini siasa za ubepari na akiwa Waziri akishaingia mikataba mingi na wawekezaji wa Kiingereza na walimpa cha juu chake. Kwenye account yake alikua na pesa nyingi sana
Wakati Nyerere aliamini katika Ujamaa, hakuwa na tamaa ya pesa na mpaka anastaafu hakuwa na hekalu alilojimilisha.
Kuna gazeti kule jamii photos wameandika "OSCAR KAMBONA MALAYA" Miaka hiyo .....nilichojifunza in life NO PERMANENT FRIEND NO PERMANENT ENEMY
Lugha ya hili gazeti mbona ilikuwa kali sana? Yote hayo ni kwa ajili ya kuwafurahisha Nyerere(kuhusu Kambona) na Karume (kuhusu Kassim Hanga)?
Nyerere alikuwa dikteta uchwara, hoja zake zote alizompinga nazo kambona zilikuja 'kuprove failure',kambona alikuwa anaona mbali kutokana na exposure na elimu, Nyerere alikuwa amemezwa na wachina,akaishia kufeli kwnye kila kitu,azamio la Arusha lilifeli,vijiji vya ujamaa vilifeli, ujamaa wenyewe ulifeli aliachia nchi kwa aibu watu wakiwa hawana chakula Wala mavazi!!Hayo yote aliyasema nyerere vipi upande wa kambona kuna aliyemsikiliza?