Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwa msiolijua, Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mjomba wake Oscar Kambona na ndiye aliyesimamia harusi yake Kambona, wote asili yao Wanyasa. Enzi hizo miaka ya sitini kila mwanaume na mwanamke alipenda afanane muonekano wa Oscar Kambona, the guy was extremely smart.Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba akiwa muasi hadi familia yake inachukuliwa kama waasi?
Je ilikuwa ni nyumba ya serikali au alijenga mwenyewe Oscar?